jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,951
- 29,532
Kuna kila dalili kuwa sasa Chadema inaachana rasmi na dhana ya kupigania haki kama ilivyokuwa ikijinadi na badala yake inaingia mstari wa mbele wa kuwapambania wakwepa kodi,waliojenga kiholela,wanaofanya biashara maeneo yasiyotakiwa n.k
Hili linajidhihirisha wazi hasa hasa ukifuatilia trends ya michango ya pro chagadema wa humu jamvini ambao wengi wao wana kumbukumbu robo kijiko na akili za kuzungusha mikono tu.
lakini pia kuna matamko mbalimbali kutoka kwa wanachama na viongozi wa chagadema...
Mfano Mzuri ni ule wa edward lowasa kuwaombea wafanyabiashara wasiolipa kodi wasifuatwe na mikono ya sheria.
ONYO:
Tunajua Wagombea wa Chadema walijichukulia fedha nyingi sana kwa mtindo wa harambee kutoka kwa wafanyabiashara na pia kwa mtindo wa sadaka kwenye mikutano sasa badala ya kutetea uovu ni vizuri wakaanza kurudisha fedha walizokwapua kutoka kwa wafanyabiashara kwani SERIKALI YA JOHN POMBE MAGUFULI haitaacha kukusanya kodi eti kwa kuwa wewe ulimchangia lowasa au Mbowe.
#HAPAKAZITU

Last edited: