Dalili ya kuonekana sayari,leo tarehe 27 ninaiona wewe je? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dalili ya kuonekana sayari,leo tarehe 27 ninaiona wewe je?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Thinker96, Feb 27, 2012.

 1. Thinker96

  Thinker96 JF-Expert Member

  #1
  Feb 27, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  wakuu habarini,huku mie niliko mwanza naona tangu mchana kuna hali ambayo tangu kuzaliwa kwangu nahis cjapata kuona maana mchana mishale ya saa7 nimeona jua likiwa limezungukwa na kitu kama upinde wa mvua ambao pia co wa kawaida ule tuliozoea wengi wetu...tafadhali mliopo sehemu nyingine tupasheni habari.
   
 2. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #2
  Feb 27, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,228
  Likes Received: 13,680
  Trophy Points: 280
  Mi sioni Chochote Mkuu
   
 3. G

  GENDAEKA Member

  #3
  Feb 27, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni hali ya kawaida ktk uwepo wangu hapa duniani nilishawahi kuiona hali hiyo mara mbili
   
 4. Thinker96

  Thinker96 JF-Expert Member

  #4
  Feb 27, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  nashukuru ilitokea lini we mara ya kwanza unaiona?
   
 5. Thinker96

  Thinker96 JF-Expert Member

  #5
  Feb 27, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  sawa mkuu uko wap?
   
 6. m

  mwabaluhi JF-Expert Member

  #6
  Feb 27, 2012
  Joined: Oct 16, 2010
  Messages: 561
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nipo dsm sioni chochote aiseee
   
 7. Thinker96

  Thinker96 JF-Expert Member

  #7
  Feb 27, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  poleni kwa kukosa kuona mapya ya dunia,,!
   
 8. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #8
  Feb 27, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  niko morogoro sioni kitu mzee
   
 9. Thinker96

  Thinker96 JF-Expert Member

  #9
  Feb 27, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  nyahenge mkuu nitaendelea kukujuzeni vile naweza hata wale wa dar hakuna wanachona.
   
Loading...