Dalili tu zinaonyesha jamaa wamekwisha pigwa bao

Rais alisema kila mbunge afanye Siasa kwenye jimbo lake lakini jana Msukuma alikuwa wilaya ya Hai akifanya kampeni na akasema Lowasa yupo mbioni kurejea CCM. sasa najiuliza Msukuma amekuwa ni mbunge wa hai siku hizi au ana kaimu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HAKUNA UCHAGUZI kuna kuwatangaza washnde wasishnde.nibora nec ifutwe tu haina kazi.watawala wawe wanajiwekea kwa kuteua tu hakuna jinsi kuliko garama zisizomsing
 
Logical fallacies,

Manchester city ni timu ya mpira,
CHADEMA ni chama cha siasa,
Hivyo basi CHADEMA si sawa na manchester city,

Hujui kuunda hoja,

Tutajie watu watatu wenye ushawishi kwa wananchi wa ukonga na monduli kwenye timu yenu ya kampeni,

Kutangulia si kufika,
Ninachokiona hapa mmetangulia kwa baiskeli,
CHADEMA wapo nyuma wanakuja kwa v8,
Leo Salum Mwalimu ataitikisa ukonga,

Pia mambo ya nec waachie nec, wewe ni sisimizi mdogo hayo msmbo yanawenyewe

Na kwa hali ya sasa waachieni akina waiyara na kalanga wale mafuta ya CCM, huku ninyi wafia chama mkila vumbi,
Na 2020 mtakatwa kama kawa kwa muujibu wa utaratibu mpya,

CCM watachukuaje mtu mwenyemawazo kama yako anayebwabwaja hovyo hovyo kusifia hata mkubwa akijamba,

Mtasubiri sana

Sent using Jamii Forums mobile app


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mawazo mfu na ngonjera za kukariri!
Magufuli: nikupe gari, nikulipe mshahara kana kwamba kodi wanalipa ccm tu, halafu umtangaze mpinzani kuwa ameshinda
Hiyo ni kauli ya jpm kwa tume ya uchaguzi iliyojaa wana ccm
Kifuatacho ninini?

E&K
 
Muda ukifika atamfukuza
kumfukuza mtu kazi kwa makosa kama ya makonda sio option ni lazima! unakumbuka kisa cha Anne Kilango Malecela? yye alikosea namba tu akafukuzwa? huyu kaingiza makontena kibaaao! bado mnajiuma uma na kubinua makalio ati nidhamu ya watumishi imerejea? stiff necked fools!
 
kumfukuza mtu kazi kwa makosa kama ya makonda sio option ni lazima! unakumbuka kisa cha Anne Kilango Malecela? yye alikosea namba tu akafukuzwa? huyu kaingiza makontena kibaaao! bado mnajiuma uma na kubinua makalio ati nidhamu ya watumishi imerejea? stiff necked fools!
Ushauri!
 
Back
Top Bottom