kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 13,868
- 15,606
Hata manchester city ilipobakisha mechi 15 ni dhahiri haikuhitaji utabiri tena kuwa itatwaa ubingwa ,
kila kocha wa timu pinzani walikuwa wakiulizwa wanasema ni dhahiri man city watakuwa mabingwa kwa tofauti ya point walizolingana.
Nikirudi hapa huo ulikuwa ni mfano tu wa kile kinachoendelea ukonga na monduli unaona na kusikia jinsi gani ccm na chadema wanavyojitangaza na kunadi sera zao haihitaji darasa wala ramli,
unaona tayari ccm wapo mbele kwa point na wameshawamaliza wapinzani wao,
kwanza ukiangalia vikosi vya kampeni unaona ccm wamejipanga na wamedhamiria kuyarudisha majimbo yao hawapo kiutani,
Ukiangalia wanavyosoma mbinu za kampeni kwa kuongeza watu wenye kujua kushawishi na kunadi sera .
Tayari chadema wamenyong'onyea,
wao badala ya kusema nini watafanya pale alipoishia mbunge wao aliyepita ,
wana ahidi kufanya mapya ina maana yale aliyoyafanya mtangulizi sio ya mbunge wa chadema na hayakuwa maendeleo,
Wamebaki na jinamizi la kuibiwa,wana nadi polisi kuvuga uchaguzi ni dhahiri siku ya kura wananchi hawatajitokeza tayari mmeshawatisha kupigwa na polisi.
Mtu anasimama anasema alikuwa ananunua kura mwenyewe anaita kuiba hapa kiswahili kidogo kinatatiza,
kuiba ni kuondoka na sanduku au kuzidisha idadi ya wapiga kura yeye anasema mabalozi wametumika amesahau wasimamizi wa uchaguzi ni.
Nec anawadanganya wananchi amesahau watu wanataka vitendo si hadithi na ngano za watu wa kale,
Unawaona vile ambavyo hawapo serious na kampeni na timu yao ya kampeni ilivyo.
Mwisho wa siku watakuja na stori uchaguzi haukuwa huru,polisi wamevuruga uchaguz na wameibiwa logic ambayo wamejibebesha vichwani mwao kwa miaka nenda,
Kwa kasi hii ya Rais john joseph pombe magufuli ni dhahiri watapata tabu sana maana sasa hawataki kampeni wanatafsiri vifungu vya biblia wamegeuka wachungaji badala ya kuuza sera,
Ni dhahiri ccm imeshashinda kabla ya kuelekea kwenye sanduku la kura saikoloji peke wamemalizika,
Kalanga na waitara wanangojwa kuapishwa tu!