Dalili tu zinaonyesha jamaa wamekwisha pigwa bao

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
13,839
15,579
Hata manchester city ilipobakisha mechi 15 ni dhahiri haikuhitaji utabiri tena kuwa itatwaa ubingwa ,
kila kocha wa timu pinzani walikuwa wakiulizwa wanasema ni dhahiri man city watakuwa mabingwa kwa tofauti ya point walizolingana.

Nikirudi hapa huo ulikuwa ni mfano tu wa kile kinachoendelea ukonga na monduli unaona na kusikia jinsi gani ccm na chadema wanavyojitangaza na kunadi sera zao haihitaji darasa wala ramli,
unaona tayari ccm wapo mbele kwa point na wameshawamaliza wapinzani wao,

kwanza ukiangalia vikosi vya kampeni unaona ccm wamejipanga na wamedhamiria kuyarudisha majimbo yao hawapo kiutani,

Ukiangalia wanavyosoma mbinu za kampeni kwa kuongeza watu wenye kujua kushawishi na kunadi sera .
Tayari chadema wamenyong'onyea,
wao badala ya kusema nini watafanya pale alipoishia mbunge wao aliyepita ,

wana ahidi kufanya mapya ina maana yale aliyoyafanya mtangulizi sio ya mbunge wa chadema na hayakuwa maendeleo,

Wamebaki na jinamizi la kuibiwa,wana nadi polisi kuvuga uchaguzi ni dhahiri siku ya kura wananchi hawatajitokeza tayari mmeshawatisha kupigwa na polisi.

Mtu anasimama anasema alikuwa ananunua kura mwenyewe anaita kuiba hapa kiswahili kidogo kinatatiza,
kuiba ni kuondoka na sanduku au kuzidisha idadi ya wapiga kura yeye anasema mabalozi wametumika amesahau wasimamizi wa uchaguzi ni.

Nec anawadanganya wananchi amesahau watu wanataka vitendo si hadithi na ngano za watu wa kale,
Unawaona vile ambavyo hawapo serious na kampeni na timu yao ya kampeni ilivyo.

Mwisho wa siku watakuja na stori uchaguzi haukuwa huru,polisi wamevuruga uchaguz na wameibiwa logic ambayo wamejibebesha vichwani mwao kwa miaka nenda,

Kwa kasi hii ya Rais john joseph pombe magufuli ni dhahiri watapata tabu sana maana sasa hawataki kampeni wanatafsiri vifungu vya biblia wamegeuka wachungaji badala ya kuuza sera,
Ni dhahiri ccm imeshashinda kabla ya kuelekea kwenye sanduku la kura saikoloji peke wamemalizika,
Kalanga na waitara wanangojwa kuapishwa tu!
 
Huwa mnaroho dizaini gani mpaka mnakua majasili wakutetea wauwaji wafilisi wachonganishi mijitu inapoteza watu kwa sababu yakuyakosoa leo dude namanyoya kibao makalioni wewe kiumbe tubuu
 
Logical fallacies,

Manchester city ni timu ya mpira,
CHADEMA ni chama cha siasa,
Hivyo basi CHADEMA si sawa na manchester city,

Hujui kuunda hoja,

Tutajie watu watatu wenye ushawishi kwa wananchi wa ukonga na monduli kwenye timu yenu ya kampeni,

Kutangulia si kufika,
Ninachokiona hapa mmetangulia kwa baiskeli,
CHADEMA wapo nyuma wanakuja kwa v8,
Leo Salum Mwalimu ataitikisa ukonga,

Pia mambo ya nec waachie nec, wewe ni sisimizi mdogo hayo msmbo yanawenyewe

Na kwa hali ya sasa waachieni akina waiyara na kalanga wale mafuta ya CCM, huku ninyi wafia chama mkila vumbi,
Na 2020 mtakatwa kama kawa kwa muujibu wa utaratibu mpya,

CCM watachukuaje mtu mwenyemawazo kama yako anayebwabwaja hovyo hovyo kusifia hata mkubwa akijamba,

Mtasubiri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata manchester city ilipobakisha mechi 15 ni dhahiri haikuhitaji utabiri tena kuwa itatwaa ubingwa ,
kila kocha wa timu pinzani walikuwa wakiulizwa wanasema ni dhahiri man city watakuwa mabingwa kwa tofauti ya point walizolingana.

Nikirudi hapa huo ulikuwa ni mfano tu wa kile kinachoendelea ukonga na monduli unaona na kusikia jinsi gani ccm na chadema wanavyojitangaza na kunadi sera zao haihitaji darasa wala ramli,
unaona tayari ccm wapo mbele kwa point na wameshawamaliza wapinzani wao,

kwanza ukiangalia vikosi vya kampeni unaona ccm wamejipanga na wamedhamiria kuyarudisha majimbo yao hawapo kiutani,

Ukiangalia wanavyosoma mbinu za kampeni kwa kuongeza watu wenye kujua kushawishi na kunadi sera .
Tayari chadema wamenyong'onyea,
wao badala ya kusema nini watafanya pale alipoishia mbunge wao aliyepita ,

wana ahidi kufanya mapya ina maana yale aliyoyafanya mtangulizi sio ya mbunge wa chadema na hayakuwa maendeleo,

Wamebaki na jinamizi la kuibiwa,wana nadi polisi kuvuga uchaguzi ni dhahiri siku ya kura wananchi hawatajitokeza tayari mmeshawatisha kupigwa na polisi.

Mtu anasimama anasema alikuwa ananunua kura mwenyewe anaita kuiba hapa kiswahili kidogo kinatatiza,
kuiba ni kuondoka na sanduku au kuzidisha idadi ya wapiga kura yeye anasema mabalozi wametumika amesahau wasimamizi wa uchaguzi ni.

Nec anawadanganya wananchi amesahau watu wanataka vitendo si hadithi na ngano za watu wa kale,
Unawaona vile ambavyo hawapo serious na kampeni na timu yao ya kampeni ilivyo.

Mwisho wa siku watakuja na stori uchaguzi haukuwa huru,polisi wamevuruga uchaguz na wameibiwa logic ambayo wamejibebesha vichwani mwao kwa miaka nenda,

Kwa kasi hii ya Rais john joseph pombe magufuli ni dhahiri watapata tabu sana maana sasa hawataki kampeni wanatafsiri vifungu vya biblia wamegeuka wachungaji badala ya kuuza sera,
Ni dhahiri ccm imeshashinda kabla ya kuelekea kwenye sanduku la kura saikoloji peke wamemalizika,
Kalanga na waitara wanangojwa kuapishwa tu!
kila siku naamini kwamba wewe akili zako hazipo sawasawa. embu tujadili kidogo juu ya utumbuaji wa jipu la usoni kwa makonda na makontena yake. je ni halali kwa kiongozi kama makonda kukwepa kodi? je sio kweli kwamba tumbuatumbua ile ilikuwa ghiriba na nguvu ya pepsi? je sio kweli kwamba hakuna tena kinachoitwa nidhamu kwa watumishi wa umma? kama ipo mbona hajamtumbua?
 
Aliyemteua ndiye mwenye maamuzi ya kumtumbua!
 
Kwa kweli upinzani hawaeleweki kabisa kwa sasa, kazi yao kulalamika tuu hawana Sera kazi kujikanganya....

'HOW MUCH IS TOO MUCH?'
 
Hata manchester city ilipobakisha mechi 15 ni dhahiri haikuhitaji utabiri tena kuwa itatwaa ubingwa ,
kila kocha wa timu pinzani walikuwa wakiulizwa wanasema ni dhahiri man city watakuwa mabingwa kwa tofauti ya point walizolingana.

Nikirudi hapa huo ulikuwa ni mfano tu wa kile kinachoendelea ukonga na monduli unaona na kusikia jinsi gani ccm na chadema wanavyojitangaza na kunadi sera zao haihitaji darasa wala ramli,
unaona tayari ccm wapo mbele kwa point na wameshawamaliza wapinzani wao,

kwanza ukiangalia vikosi vya kampeni unaona ccm wamejipanga na wamedhamiria kuyarudisha majimbo yao hawapo kiutani,

Ukiangalia wanavyosoma mbinu za kampeni kwa kuongeza watu wenye kujua kushawishi na kunadi sera .
Tayari chadema wamenyong'onyea,
wao badala ya kusema nini watafanya pale alipoishia mbunge wao aliyepita ,

wana ahidi kufanya mapya ina maana yale aliyoyafanya mtangulizi sio ya mbunge wa chadema na hayakuwa maendeleo,

Wamebaki na jinamizi la kuibiwa,wana nadi polisi kuvuga uchaguzi ni dhahiri siku ya kura wananchi hawatajitokeza tayari mmeshawatisha kupigwa na polisi.

Mtu anasimama anasema alikuwa ananunua kura mwenyewe anaita kuiba hapa kiswahili kidogo kinatatiza,
kuiba ni kuondoka na sanduku au kuzidisha idadi ya wapiga kura yeye anasema mabalozi wametumika amesahau wasimamizi wa uchaguzi ni.

Nec anawadanganya wananchi amesahau watu wanataka vitendo si hadithi na ngano za watu wa kale,
Unawaona vile ambavyo hawapo serious na kampeni na timu yao ya kampeni ilivyo.

Mwisho wa siku watakuja na stori uchaguzi haukuwa huru,polisi wamevuruga uchaguz na wameibiwa logic ambayo wamejibebesha vichwani mwao kwa miaka nenda,

Kwa kasi hii ya Rais john joseph pombe magufuli ni dhahiri watapata tabu sana maana sasa hawataki kampeni wanatafsiri vifungu vya biblia wamegeuka wachungaji badala ya kuuza sera,
Ni dhahiri ccm imeshashinda kabla ya kuelekea kwenye sanduku la kura saikoloji peke wamemalizika,
Kalanga na waitara wanangojwa kuapishwa tu!
Hii nayo ni hoja ya nguvu sio nguvu ya hoja. Hata kutengengeneza mazingira ya kumtangaza ambaye hakushinda nayo sasa yanaanza kuonekana. Acha hizo subiri kampeini ziishe, tume ya uchaguzi izingatie vigezo na masharti na kumtangaza mshindi. Wasiwasi wa nini?
 
Tume imetumia vigezo bunyungu,kinondoni na kwingineko hapa hapatakuwa pa kwanza!
 
Hata manchester city ilipobakisha mechi 15 ni dhahiri haikuhitaji utabiri tena kuwa itatwaa ubingwa ,
kila kocha wa timu pinzani walikuwa wakiulizwa wanasema ni dhahiri man city watakuwa mabingwa kwa tofauti ya point walizolingana.

Nikirudi hapa huo ulikuwa ni mfano tu wa kile kinachoendelea ukonga na monduli unaona na kusikia jinsi gani ccm na chadema wanavyojitangaza na kunadi sera zao haihitaji darasa wala ramli,
unaona tayari ccm wapo mbele kwa point na wameshawamaliza wapinzani wao,

kwanza ukiangalia vikosi vya kampeni unaona ccm wamejipanga na wamedhamiria kuyarudisha majimbo yao hawapo kiutani,

Ukiangalia wanavyosoma mbinu za kampeni kwa kuongeza watu wenye kujua kushawishi na kunadi sera .
Tayari chadema wamenyong'onyea,
wao badala ya kusema nini watafanya pale alipoishia mbunge wao aliyepita ,

wana ahidi kufanya mapya ina maana yale aliyoyafanya mtangulizi sio ya mbunge wa chadema na hayakuwa maendeleo,

Wamebaki na jinamizi la kuibiwa,wana nadi polisi kuvuga uchaguzi ni dhahiri siku ya kura wananchi hawatajitokeza tayari mmeshawatisha kupigwa na polisi.

Mtu anasimama anasema alikuwa ananunua kura mwenyewe anaita kuiba hapa kiswahili kidogo kinatatiza,
kuiba ni kuondoka na sanduku au kuzidisha idadi ya wapiga kura yeye anasema mabalozi wametumika amesahau wasimamizi wa uchaguzi ni.

Nec anawadanganya wananchi amesahau watu wanataka vitendo si hadithi na ngano za watu wa kale,
Unawaona vile ambavyo hawapo serious na kampeni na timu yao ya kampeni ilivyo.

Mwisho wa siku watakuja na stori uchaguzi haukuwa huru,polisi wamevuruga uchaguz na wameibiwa logic ambayo wamejibebesha vichwani mwao kwa miaka nenda,

Kwa kasi hii ya Rais john joseph pombe magufuli ni dhahiri watapata tabu sana maana sasa hawataki kampeni wanatafsiri vifungu vya biblia wamegeuka wachungaji badala ya kuuza sera,
Ni dhahiri ccm imeshashinda kabla ya kuelekea kwenye sanduku la kura saikoloji peke wamemalizika,
Kalanga na waitara wanangojwa kuapishwa tu!

Kipara Kipya,
Natilia shaka sana elimu uliyo nayo na uelewa wa mambo......!!!Uliishia darasa la ngapi?
Kwa haraka haraka tu naweza kuona kilicho ndani ya bongo lako.....Kwamba ndondocha la CCM linapewa kofia kapelo, Tshirt, khanga au chumvi ili aipe kura CCM ili atawaliwe kwa miaka 5 ijayo.....!!!

Ukifika nyumbani kwa huyu ndondocha utakuta anakaa ndani ya kibanda cha mbavu za mbwa, hana shamba, watiti wanasoma Asante Kayumba na hana uhakika hata mlo wake wa kutwa...Lkaini yuko tayari kuifia CCM....Huyo ni zaidi ya ndondocha...!!

Maisha+ya+kijijini+-+Ambulance.JPG

Jan.17.17.Cheering.On_.Magufuli-595x450.jpg
 
Itatawala milele!
 
Uzuri ni kwamba chadema hawajawahi kushindwa mbele ya wananchi Bali wanashindwa mbele ya NEC ya ccm

E&K
 
Back
Top Bottom