Dalili kuwa umelogwa na mpenzi wako (mume,mke au mchumba)

The only

JF-Expert Member
May 19, 2011
10,417
13,375
Wakuu poleni na machungu ya ripoti ya CAG !

Tujifariji kidogo,Wakuu laiti mngejua zama hizi tunazoishi watu wanavyotumia nguvu za giza kulazimisha mapenzi msinge amini kabisa

USHUHUDA

Katika bata za mjini siku moja nikiwa nimekuja dar ,Jamaangu akanambia najua huna ishu wiki hii ni wazi utataka unywe bia mchana ,ngoja nikupeleke ufikie lodge ambayo utaweza kula bia muda wowote bila usumbufu ya vijana wa mkuu Paul,akanipeleka kijiwe mwanana kinondoni studio kama unaelekea kanisa la mizengo pinda ,baa inaitwa atlanta ,mbele yake kuna mganga ambae wahudumu walinieleza ni amejikita kwenye limbwata .

Jamani nisiwachoshe yaani wadada wa mjini wanamiminika balaa zinakuja gari za kila rangi na nasikia ukienda unapewa appointment halafu hawkai sana kama dakika 15 katoka kama wananunua cocaine .Yaani naskia anamaji yake anawpa wakaogee baada ya hapo utafuata anachotaka ,cha ajabu nilijua ni vya wanawake tuu ,mama yangu vijana hasa hawa serengeti mabrazameni ni utitili ,sasa wakuu niwape dalili kuwa wewe umeshughulikiwa:

1. Kumuwaza mpenzi kila saa hasa akiwa hayupo.
Kuna uwezekana mkubwa tayari mapenzi ya kweli humuamini mwenzio sana ,na huna hofu nae ,hata asipopokea simu unatuma text ''bby nilipiga ,nadhani utakuwa busy ,ukiwa ok nipigie niskie tu sauti'' sio '' utanieleza ulikuwa wapi?'' shetani sio fala akupe mapenzi yakupe furaha dhubutu lengo ni kukutesa mugu wako asononeke.
2.Kumuotea mwenza ndoto za ajabu
-mara unamuota anakuacha mara unamfumania ,in reality nguvu zako pia za asili zinapambana kukupa ujumbe kwamba umewahiwa ila limbwata limekuziba mdomo.
3.Ghafla kuchukia marafiki wa siku nyingi
Hii hutokana na ukweli kwamba urafiki ni nyota kuendana ,sasa mwenzi anapoigeuza imfae yeye palepale rafiki zako wanakuona si yule wanaemfahamu ,na cha kwanza huwa unakata mawasiliano na mama mzazi ,mkuu wamekuwahi .
4.kuwa na misimu ya kumpenda na kumchukia
Mapenzi ya kweli huwa hayabadiliki badiliki ukipenda umependa ,haya ya kutengenezwa kuna siku akili inakurudi,mara nyingi unaweza hata muua kwa hasira ,ukiona mahusiano yako hujawahi kupiga mwanamke lakini huyu unampiga sana ile ni vita yako ya wewe usiemjua (subcontious mind) inayojua kila kitu ndo inampiga .
5.Mara baada ya kuanza kupenda sana ,mapato yanakata ,anakuomba pesa kuzidi kiasi maana anajua ni muda mfupi utamuacha ,watu kukuwinda bila sababu kuchukiwa ghafla na kuchukia kwa sababu ndogo kabisa ,maana mwanamke usiempenda mara nyingi nyota yake iko chini( na mwanaume usiempenda) wanachofanya walozi wanashusha yako iwe sawa na yako ,hawajui inashuka pia kiuchumi ,etc
6.Mwisho lakini muhimu ,mpenzi kujiamini kuliko kiasi ,mwanamke kukufokea mbele za watu ,au kukupiga ni hali ya kujihakikishia ,mwanaume kukwambia live huna uwezo wa kuniacha jiongeze .

NIMECHOKA KUANDIKA NTAMALIZIA JINSI YA KUJITOA KWENYE BALAA HILI

SHUHUDA YA MCHANGIAJI

Miaka hiyo, kuna dada mrembo flani hivi na mfanyakazi kwenye hotel moja mjini tulizoeana kawaida na hii ni kutokana na kuwa na vistori vya kuchekesha chekesha kila tunapokutana, siku moja akaniambia " KUMBE WE DALALI?" Nikamjibu NDIO.
"MWANAUME MZIMA UNAISHI KIUJANJA UJANJA BILA RAMANI"
Nikamjibu tena NDIO
"HAYA BASI SIPENDI UNIZOEE" akaniambia.
Nikamjibu sawa.

Miezi kadhaa baadae nikakutana nae kwenye night club moja akiwa ni muhudumu, akanichangamkia fresh tu, nami sikusinzia, nikamchangamkia na kumuuliza kama pale anapiga party time?
Akanijibu kule walipunguzwa kazi, so amejishikiza pale.
Nilikuwa na group la marafiki tukila raha za jiji.
Huku na kule, akanifuata na kuniomba namba.
Nikamjibu, ila kazi yangu ni ileile, sijalamba uteuzi bado.
Akacheka, na kusisitiza nimpe namba.
Nikampa.

Huku na kule akaomba afike kwangu, nikamkaribisha.
Siku hiyo hiyo, akaliwa. Akaanza kuhamisha nguo zake mdogo mdogo,
Nikawazaaaaa, ni mzuri yes, anajua kupika, ni msafi, hata anapokosea ukimkaripia, hanuni, mnayamaliza, anajirekebisha, nikasema poa acha ahamie.

Hivi na vile, mtoto akaaga anakwenda kusalimia kwao, hapo tuna miezi minne pamoja.
Alivyorudi, baada kama ya wiki hivi, akaniambia, leo usitoke, hebu fua hizi nguo.
.
.
.
.
.
Zilikuwa nyingi, zake na zangu za wiki nzima, mashuka, mapazia. Hata wazo lakusema nizipeleke kwa dobi halikunijia, nikajikuta nakaa kitako nafua. Nilianza saa mbili asubuhi mpaka saa sita mchana ndio namaliza. Akaniambia niende dukani nikachukue mchele wa vitumbua aje anifundishe kupika, nikaenda, nikaleta, na nikavipika vitumbua mwanangu dah.
Lakini kuna nafsi inaniambia acha ufala wewe, nafsi nyingine inaniambia ndio mahaba hayo.
Bwana bwana, ikawa ninachopata kwenye mishe, sikiweki kwenye tigopesa tena, nakileta kama kilivyo nakiweka kabatini, anatumia bila kuniambia na wala sifoki.
.
.
.
Ikafika mahali ukiomba zigo usiku, zile siku ambazo anakuwa off, ananiambia bado mapema, tufanye saa tisa usiku.
Nakubali kishingo upande nalala, ndio kimoja hiyo hadi majogoo.
.
.
.
Siku moja katika pilika za kazi, nilikutana na bi mkubwa mmoja kwenye daladala, katika kupiga stori ndio akaniambia ana shida ya shamba la kukodi, nikamwambia mi dalali, ungependa upate shamba maeneo gani?
Akanitajia, tukabadilishana namba, nikamwambia nikilipata nitakushtua uje ulicheki.
Ndani ya siku nne, nikamfahamisha nimelipata, akaja kuliona.
Nikamtajia na bei, akasema sawa.
Kesho akanitumia ile hela yote ya kukodi nikamlipie kisha akaweka cha juu, nikashangaa kidogo, hanijui huyu, kapata wapi ujasiri wa kuniamini na kunitumia hela yote hii. Nikaenda kulipa.
Baada ya wiki akanipigia simu na kuniambia yupo shamba anasafisha, kama sitojali niende ana zawadi yangu kutokana na uaminifu nilionyesha kwake.
Nikaenda, akaniambia kijana unaishi na nuksi nyumbani kwako, chukua hii dawa, unga unga flani, kaogee, utaniambia.
Nikasema poa, nikafika home, sikumkuta mwanamke alikuwa ameshaenda zake kwenye ile club, nikaweka unga kwenye ndoo, koroga, oga.
Yule mwanamke alivyorudi asubuhi, nikashangaa anakusanya nguo zake na kusepa.
Alikokwenda sikujui, nami nikahama na nyumba yenyewe na nimekoma kuzoazoa.
Uchawi upo bandugu kwenye hayo mavituvitu.
 
Acha uongo wewe...!!

Sasa kama umerogwa kweli, hizo dalili utazionaje..??? Mtu wa pembeni ndo anaziona, na hata akikwambia, HUWEZI KUMUAMINI....!!! Ukiona amekwambia ukamuelewa na kumwamini, ujue dawa ndo inaisha nguvu...!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi niliwahi logwa ,tatizo wengi inawakuta wakiwa hawajawahi elezwa hii anaona dalili anaishia kupoint sababu zingine
 
Pole sana... Na mkasa ulio kusibu

Love and peace
 
Wakuu poleni na machungu ya ripoti ya CAG !

Tujifariji kidogo,Wakuu laiti mngejua zama hizi tunazoishi watu wanavyotumia nguvu za giza kulazimisha mapenzi msinge amini kabisa

USHUHUDA

Katika bata za mjini siku moja nikiwa nimekuja dar ,Jamaangu akanambia najua huna ishu wiki hii ni wazi utataka unywe bia mchana ,ngoja nikupeleke ufikie lodge ambayo utaweza kula bia muda wowote bila usumbufu ya vijana wa mkuu Paul,akanipeleka kijiwe mwanana kinondoni studio kama unaelekea kanisa la mizengo pinda ,baa inaitwa atlanta ,mbele yake kuna mganga ambae wahudumu walinieleza ni amejikita kwenye limbwata .

Jamani nisiwachoshe yaani wadada wa mjini wanamiminika balaa zinakuja gari za kila rangi na nasikia ukienda unapewa appointment halafu hawkai sana kama dakika 15 katoka kama wananunua cocaine .Yaani naskia anamaji yake anawpa wakaogee baada ya hapo utafuata anachotaka ,cha ajabu nilijua ni vya wanawake tuu ,mama yangu vijana hasa hawa serengeti mabrazameni ni utitili ,sasa wakuu niwape dalili kuwa wewe umeshughulikiwa:

1. Kumuwaza mpenzi kila saa hasa akiwa hayupo.
Kuna uwezekana mkubwa tayari mapenzi ya kweli humuamini mwenzio sana ,na huna hofu nae ,hata asipopokea simu unatuma text ''bby nilipiga ,nadhani utakuwa busy ,ukiwa ok nipigie niskie tu sauti'' sio '' utanieleza ulikuwa wapi?'' shetani sio fala akupe mapenzi yakupe furaha dhubutu lengo ni kukutesa mugu wako asononeke.
2.Kumuotea mwenza ndoto za ajabu
-mara unamuota anakuacha mara unamfumania ,in reality nguvu zako pia za asili zinapambana kukupa ujumbe kwamba umewahiwa ila limbwata limekuziba mdomo.
3.Ghafla kuchukia marafiki wa siku nyingi
Hii hutokana na ukweli kwamba urafiki ni nyota kuendana ,sasa mwenzi anapoigeuza imfae yeye palepale rafiki zako wanakuona si yule wanaemfahamu ,na cha kwanza huwa unakata mawasiliano na mama mzazi ,mkuu wamekuwahi .
4.kuwa na misimu ya kumpenda na kumchukia
Mapenzi ya kweli huwa hayabadiliki badiliki ukipenda umependa ,haya ya kutengenezwa kuna siku akili inakurudi,mara nyingi unaweza hata muua kwa hasira ,ukiona mahusiano yako hujawahi kupiga mwanamke lakini huyu unampiga sana ile ni vita yako ya wewe usiemjua (subcontious mind) inayojua kila kitu ndo inampiga .
5.Mara baada ya kuanza kupenda sana ,mapato yanakata ,anakuomba pesa kuzidi kiasi maana anajua ni muda mfupi utamuacha ,watu kukuwinda bila sababu kuchukiwa ghafla na kuchukia kwa sababu ndogo kabisa ,maana mwanamke usiempenda mara nyingi nyota yake iko chini( na mwanaume usiempenda) wanachofanya walozi wanashusha yako iwe sawa na yako ,hawajui inashuka pia kiuchumi ,etc
6.Mwisho lakini muhimu ,mpenzi kujiamini kuliko kiasi ,mwanamke kukufokea mbele za watu ,au kukupiga ni hali ya kujihakikishia ,mwanaume kukwambia live huna uwezo wa kuniacha jiongeze .

NIMECHOKA KUANDIKA NTAMALIZIA JINSI YA KUJITOA KWENYE BALAA HILI

SHUHUDA YA MCHANGIAJI
Ukileta namna ya kujikwamua unitag

Love and peace
 
Nlirogwa mkuyenge usisimame na wazazi wa demu ila nkiwa na yule demu ngoma inanyooka dah nliteseka ila ikabidi nmuambie mamaangu mzazi alinisaidia mpka leo npo safi kbsa na kila day lzma ntest mitambo

yes bishoo haswaaa
 
Utapewa upupu uogee ujikune hadi uchakae.

Uchawi ni story za kusadikika hazina uhalisia woowote.
Miaka hiyo, kuna dada mrembo flani hivi na mfanyakazi kwenye hotel moja mjini tulizoeana kawaida na hii ni kutokana na kuwa na vistori vya kuchekesha chekesha kila tunapokutana, siku moja akaniambia " KUMBE WE DALALI?" Nikamjibu NDIO.
"MWANAUME MZIMA UNAISHI KIUJANJA UJANJA BILA RAMANI"
Nikamjibu tena NDIO
"HAYA BASI SIPENDI UNIZOEE" akaniambia.
Nikamjibu sawa.

Miezi kadhaa baadae nikakutana nae kwenye night club moja akiwa ni muhudumu, akanichangamkia fresh tu, nami sikusinzia, nikamchangamkia na kumuuliza kama pale anapiga party time?
Akanijibu kule walipunguzwa kazi, so amejishikiza pale.
Nilikuwa na group la marafiki tukila raha za jiji.
Huku na kule, akanifuata na kuniomba namba.
Nikamjibu, ila kazi yangu ni ileile, sijalamba uteuzi bado.
Akacheka, na kusisitiza nimpe namba.
Nikampa.

Huku na kule akaomba afike kwangu, nikamkaribisha.
Siku hiyo hiyo, akaliwa. Akaanza kuhamisha nguo zake mdogo mdogo,
Nikawazaaaaa, ni mzuri yes, anajua kupika, ni msafi, hata anapokosea ukimkaripia, hanuni, mnayamaliza, anajirekebisha, nikasema poa acha ahamie.

Hivi na vile, mtoto akaaga anakwenda kusalimia kwao, hapo tuna miezi minne pamoja.
Alivyorudi, baada kama ya wiki hivi, akaniambia, leo usitoke, hebu fua hizi nguo.
.
.
.
.
.
Zilikuwa nyingi, zake na zangu za wiki nzima, mashuka, mapazia. Hata wazo lakusema nizipeleke kwa dobi halikunijia, nikajikuta nakaa kitako nafua. Nilianza saa mbili asubuhi mpaka saa sita mchana ndio namaliza. Akaniambia niende dukani nikachukue mchele wa vitumbua aje anifundishe kupika, nikaenda, nikaleta, na nikavipika vitumbua mwanangu dah.
Lakini kuna nafsi inaniambia acha ufala wewe, nafsi nyingine inaniambia ndio mahaba hayo.
Bwana bwana, ikawa ninachopata kwenye mishe, sikiweki kwenye tigopesa tena, nakileta kama kilivyo nakiweka kabatini, anatumia bila kuniambia na wala sifoki.
.
.
.
Ikafika mahali ukiomba zigo usiku, zile siku ambazo anakuwa off, ananiambia bado mapema, tufanye saa tisa usiku.
Nakubali kishingo upande nalala, ndio kimoja hiyo hadi majogoo.
.
.
.
Siku moja katika pilika za kazi, nilikutana na bi mkubwa mmoja kwenye daladala, katika kupiga stori ndio akaniambia ana shida ya shamba la kukodi, nikamwambia mi dalali, ungependa upate shamba maeneo gani?
Akanitajia, tukabadilishana namba, nikamwambia nikilipata nitakushtua uje ulicheki.
Ndani ya siku nne, nikamfahamisha nimelipata, akaja kuliona.
Nikamtajia na bei, akasema sawa.
Kesho akanitumia ile hela yote ya kukodi nikamlipie kisha akaweka cha juu, nikashangaa kidogo, hanijui huyu, kapata wapi ujasiri wa kuniamini na kunitumia hela yote hii. Nikaenda kulipa.
Baada ya wiki akanipigia simu na kuniambia yupo shamba anasafisha, kama sitojali niende ana zawadi yangu kutokana na uaminifu nilionyesha kwake.
Nikaenda, akaniambia kijana unaishi na nuksi nyumbani kwako, chukua hii dawa, unga unga flani, kaogee, utaniambia.
Nikasema poa, nikafika home, sikumkuta mwanamke alikuwa ameshaenda zake kwenye ile club, nikaweka unga kwenye ndoo, koroga, oga.
Yule mwanamke alivyorudi asubuhi, nikashangaa anakusanya nguo zake na kusepa.
Alikokwenda sikujui, nami nikahama na nyumba yenyewe na nimekoma kuzoazoa.
Uchawi upo bandugu kwenye hayo mavituvitu.
 
Pole sana

Back
Top Bottom