Dalili kumi za kukuonyesha kuwa mwenzi wako ana-cheat...

Duuuuuuuuh,Mungu anisaidie na aepushe,sitaki kuwa chanzo cha break up......ikitokea nitamwambia na kusema samahani,then tutalizungumza na kuamua hatma ya uhusiano wetu.....mi sina kipingamizi mwanaume akishaamua kuwa na msichana mwingine,siwezi mlazimisha,naye pia hawezi nilazimisha nikipenda na kuamua mimi na yeye basi......nitalia tu kama kawa then maisha yataendelea......:A S 20::A S 20:

Pengine ili kuepusha hizo unexpected heartbreaking ni vizuri mkiongea sasa hivi mkakumbushana kwamba inaweza ikajatokea ajali kama mtaendelea kujiamini kwamba hamfiki mwisho.

Halafu Michelle nikueleze ukweli rafiki yangu. It is extremely rare mwanaume afike hatua ya kukiss mwanamke halafu asimbandue. Hatuko wazungu kihivyo mama, akili yetu hung'ang'ania hapo katikati ya miguu zaidi kuliko touching
 
Waga tunakumbushana, wala hatujiamini sana,as wote tunajua madhaifi yetu....tunajitahidi kadri ya uwezo wetu.....

Kuhusu hilo kukiss,uko sahihi,kuna wakati nikimuangalia machoni akiwa anasema alichofanya najua tu ali make love na huyo msichana,ila waga simlazimishi,as mimi sipendi pia anilazimishe kuwa nilifanya kitu ambacho sikufanya.....nachojua ananipenda,anajali,ananiheshimu na anajitahidi,thats enough for me......nikimtafuta aliyekamilika simpati!!!
 
Yap!
 
hv ukiwaona umechoka uhusiano ufanyeje? tafuta kwanza ndo uache?
 
Sama inaweza kuwa alikuwa anacheat ama si hivyo. hizi ni dalili tu. Ili kujua ukweli ilitakiwa uende next stage ya kumchunguza. Ukitaka ushauri zaidi unaweza kupata msaada wa Intelligensia mahali. Ni Kiboko ya kuwanasa Cheaters.

Tulishaachana siku nyingi.Nimeolewa na mtu mwingine mwenye upendo wa ajabu! Sitaki hata kumchunguza kitu maana naridhika na kila kitu chake hata kama anacheat sijali.
Ila kwa manufaa ya wengine hiyo intelijensia iko wapi?
 
Waga tunakumbushana, wala hatujiamini sana,as wote tunajua madhaifi yetu....tunajitahidi kadri ya uwezo wetu.....

Kuhusu hilo kukiss,uko sahihi,kuna wakati nikimuangalia machoni akiwa anasema alichofanya najua tu ali make love na huyo msichana,ila waga simlazimishi,as mimi sipendi pia anilazimishe kuwa nilifanya kitu ambacho sikufanya.....nachojua ananipenda,anajali,ananiheshimu na anajitahidi,thats enough for me......nikimtafuta aliyekamilika simpati!!!

duuuu, i agree with u gal embu niPM ulizaliwa mwezi gani ...anyway seemz u n ur man both have good exposure,maan mijaume ya kibongo huwa hawajui kuwa unaweza umkamtamani mwanaume mwingine while uko kwenye relatuonship! cha msingi ni to what extend to you go with that man ndio kinacholeta matatizo, the fact that am committed does mean feeling zangu as a human being zinakufa n that sitakuja kumuona mtu mwingine na nikawa attracted to him,.....
 
hv ukiwaona umechoka uhusiano ufanyeje? tafuta kwanza ndo uache?

Acha kwanza,take time to heal and reflect your past relationship then tafuta mwingine......ukimtafuta kabla,unaweza fanya uamuzi wa kumuacha yule uliyemchoka kwa kuwa tu kipya siku zote kizuri,kumbe ukimfahamu vizuri bora huyo uliemchoka......mtizamo tu.......
 
duuuu, i agree with u gal embu niPM ulizaliwa mwezi gani ...anyway seemz u n ur man both have good exposure,maan mijaume ya kibongo huwa hawajui kuwa unaweza umkamtamani mwanaume mwingine while uko kwenye relatuonship! cha msingi ni to what extend to you go with that man ndio kinacholeta matatizo, the fact that am committed does mean feeling zangu as a human being zinakufa n that sitakuja kumuona mtu mwingine na nikawa attracted to him,.....

to hell with exposure....
 
Mwenzi wako anajiweka pembeni anapopokea simu Fulani Fulani au anapotuma au kupokea SMS Fulani. Anakuwa hachezi mbali na simu yake. Wakati mwingine analala nayo, kwenda nayo washroom, kuilock bila ulazima au unapoomba utumie simu yake kwa sababu muhimu kukataliwa bila sababu za msingi

hiii ilinikuta one time mpenzi wangu alikuwa busy na simu yake sana,ikafika mahali tukiwa tunaenda mahali wote anataka mie ndo niwe drive, ili yeye awe anatumia huwa mwanya kuchart na simu, mara simu yake tukilala wote ataicharge sitting room while chumbani kuliwa na socket sio chini ya nne, nikafanya uchunguzi wangu, nikaenda kwa kampuni ya simu nikapata print out ya mawasiliano yake yote!

he was cheating on me!!!!
 
duuuu, i agree with u gal embu niPM ulizaliwa mwezi gani ...anyway seemz u n ur man both have good exposure,maan mijaume ya kibongo huwa hawajui kuwa unaweza umkamtamani mwanaume mwingine while uko kwenye relatuonship! cha msingi ni to what extend to you go with that man ndio kinacholeta matatizo, the fact that am committed does mean feeling zangu as a human being zinakufa n that sitakuja kumuona mtu mwingine na nikawa attracted to him,.....

Tatizo hamuwi wazi bana
 
ha ha ha ha ha, trust me nimekutana nao,kitu kimoja tu,i take my time to make my desicions na when taking time,i discover lots of things about them like si wavumilivu, hawa- keep promises, au nawapima na yule niliye naye.....mwishowe nafikia ku-appreciate yule niliye naye na kusema ukweli then maisha yanaendelea.......most players lack consistency and you can easily know their intentions if you read between the lines of their words.......time tells it all,ishu watu wengi wanakurupuka.........i must also admitt,nimedanganywa sana kabla ya huyu so players nawafahamu vizuri....l.o.l

Madame Mich; i will come back to you on this. I have an exciting Story of Professional Cheaters ambao usiombe ukutane nao . . . They will make it as a project mpaka wakupate.
 
Mwenzi wako anajiweka pembeni anapopokea simu Fulani Fulani au anapotuma au kupokea SMS Fulani. Anakuwa hachezi mbali na simu yake. Wakati mwingine analala nayo, kwenda nayo washroom, kuilock bila ulazima au unapoomba utumie simu yake kwa sababu muhimu kukataliwa bila sababu za msingi

hiii ilinikuta one time mpenzi wangu alikuwa busy na simu yake sana,ikafika mahali tukiwa tunaenda mahali wote anataka mie ndo niwe drive, ili yeye awe anatumia huwa mwanya kuchart na simu,mara simu yake tukilala wote ataicharge sitting room while chumbani kuliwa na socket sio chini ya nne, nikafanya uchunguzi wangu, nikaenda kwa kampuni ya simu nikapata print out ya mawasiliano yake yote!!!
he was cheating on me!!!!

you are cheating on us!
 
duuuu, i agree with u gal embu niPM ulizaliwa mwezi gani ...anyway seemz u n ur man both have good exposure,maan mijaume ya kibongo huwa hawajui kuwa unaweza umkamtamani mwanaume mwingine while uko kwenye relatuonship! cha msingi ni to what extend to you go with that man ndio kinacholeta matatizo, the fact that am committed does mean feeling zangu as a human being zinakufa n that sitakuja kumuona mtu mwingine na nikawa attracted to him,.....

Kweli kabisa,mi wala sijishangai,nikikaa na galfriends wangu,hili ni jambo la kawaida,kutamani,kupenda wengine kupo kwa baadhi yetu ila la muhimu ni kuheshimu committment na kuwa na boundaries as well as kuomba Mungu.....ha ha ha ha,hilo la mwezi uko serious....l.o.l
 
Mwenzi wako anajiweka pembeni anapopokea simu Fulani Fulani au anapotuma au kupokea SMS Fulani. Anakuwa hachezi mbali na simu yake. Wakati mwingine analala nayo, kwenda nayo washroom, kuilock bila ulazima au unapoomba utumie simu yake kwa sababu muhimu kukataliwa bila sababu za msingi

hiii ilinikuta one time mpenzi wangu alikuwa busy na simu yake sana,ikafika mahali tukiwa tunaenda mahali wote anataka mie ndo niwe drive, ili yeye awe anatumia huwa mwanya kuchart na simu,mara simu yake tukilala wote ataicharge sitting room while chumbani kuliwa na socket sio chini ya nne, nikafanya uchunguzi wangu, nikaenda kwa kampuni ya simu nikapata print out ya mawasiliano yake yote!!!
he was cheating on me!!!!

Na mtu kama mimi sasa niko busy na JF pia utaenda ulizia printout?
 
Tulishaachana siku nyingi.Nimeolewa na mtu mwingine mwenye upendo wa ajabu! Sitaki hata kumchunguza kitu maana naridhika na kila kitu chake hata kama anacheat sijali.

Ila kwa manufaa ya wengine hiyo intelijensia iko wapi?

Say it louder ili kila mtu asikie. And that is the best way ya kuishi katika ndoa. Kuku ukimchunguza sana hutamla. I hope ametulia. lakini pia kumbuka a bigger % ya marriage ina cheaters. na kuna watu wanacheat hata more than 20-30 years na huwezi jua. We call the Professionals.

Habari ya Intelligensia chana nayo my dear. Itakufanya ufikiria kumfuatilia. it is sophiscated and hightech with the highest level of intelligence. Unless kama umeichoka ndoa yako.
 
Mwenzi wako anajiweka pembeni anapopokea simu Fulani Fulani au anapotuma au kupokea SMS Fulani. Anakuwa hachezi mbali na simu yake. Wakati mwingine analala nayo, kwenda nayo washroom, kuilock bila ulazima au unapoomba utumie simu yake kwa sababu muhimu kukataliwa bila sababu za msingi

hiii ilinikuta one time mpenzi wangu alikuwa busy na simu yake sana,ikafika mahali tukiwa tunaenda mahali wote anataka mie ndo niwe drive, ili yeye awe anatumia huwa mwanya kuchart na simu,mara simu yake tukilala wote ataicharge sitting room while chumbani kuliwa na socket sio chini ya nne, nikafanya uchunguzi wangu, nikaenda kwa kampuni ya simu nikapata print out ya mawasiliano yake yote!!!
he was cheating on me!!!!

You got it right and u found the evidences. Karibu Private Intelligence Club tutengeneze pesa na kukomesha Cheaters.
 
Madame Mich; i will come back to you on this. I have an exciting Story of Professional Cheaters ambao usiombe ukutane nao . . . They will make it as a project mpaka wakupate.

ha ha ha ha,am waiting eagerly,ila mimi nikidhamiria jambo langu pia si mchezo.......sitaki kusema mengi yaliyofanywa lakini wapi.....:laugh::laugh:
 
Men, consider what your instinct is telling you. When a woman cheats on you, the first sign you notices usually isn't hard evidence such as the smell of men's cologne on her clothing or boxer shorts in her purse, it's a "feeling" in your gut.
 
Back
Top Bottom