Dalili kumi za kukuonyesha kuwa mwenzi wako ana-cheat...

Mjomba..shangazi..kaka..dada na mashemeji wapo humu!Naogopa!

LOL, wanajua ID yako? Au unamwogopa Mchungaji?

Hebu ni-PM story yako mimi nitaibandika kuwa inatoka kwa "Wana JF ambaye hakupenda jina lake litajwe"
 
Mwongozo mzuri ila naweza nikatoa maelezo yanayopinga hizo dondoo zote kua za mtu anaecheat!!Tena sio kwa kubahatisha ila kwakua nimeona na kupitia mwenyewe!Kwahiyo inawezekana zikaashiria kucheat au ikawa kwa sababu nyingine tofauti kabisa!
Mengine ni kweli Lizzy, cheating is a complicated business!
 
Haaaa!

Mi nakumbuka mume wangu kipindi flani alibadilika sana. Akaanza kwenda jogging, anapanga diet, kila saa anajali sana muonekano wake. Kuna kipindi nilikuwa mjamzito alinibadilikia sana. Simu haziishi, majibu mabaya.

Kuna kipindi ilkuwa bethdei yake, tukapanga kama kawaida kutoka. Lakini njiani alianza maneno maneno nikaanza kulia. hakunibembeleza kama aalivyozoea! Niliumia sana. Baadae ya miezi kama mitatu badae, mwenyewe akajirudi nakuniomba msamaha akisema shetani alimpitia! Sikuwa nahisi kama ana cheat lakini.

Sasa ndo napata wazo hilo!
 
So honest to be true . . . cant be good than that.

Madame, I hope that was the past and that you are now "a good gal" kama unavyotoa maushauri yako hapa JF.

I have always bn a good girl, sijawahi fikia hatua ya kulala na mwanaume nje ya uhusiano.....ila kupenda mwanaume nje ya uhusiano au kutamani ni kawaida yangu, the good thing with me, I respect my commitments na husema tu kweli at last kwa yule ninayempenda kwamba nilikutana na fulani, and i like/love him and in a way, as there is a chemistry between us.......then yeye husema tu mmmhhh,then nitamwambia tu ukweli kwamba sijafika nae zaidi ya kwenda out au kutembea...

It's good to have boundaries ...... ila siwezi sema uongo kwamba since nimejuana nae, ni yeye tu sijawahi mpenda mtu mwingine........hata yeye anakutana na hali kama hiyo na husema tena mara ingine kafika hadi ku-kiss na yule msichana......mimi naishia hug.......

:coffee:
 
Ukweli mtupu ila hiyo ya sita sijaielewa ati.
Yanabadilikaje?

Husn kwa kuwa umesema ni ukweli mtupu bila ya shaka una experience fulani. Please share with us.

Kuhusu ya sita:

6. Mambo ya kujiweka soap soap au kujirembesha yanabadilika, hasa katika Nyanja za perfume perfume; hairstlyles, smartness, nk.

Yaani utakuta mwenzi wako umaridadi unaongezeka. Sasa kama ni mdada kapewa zawadi za pefume labda utakuta ni tofauti ni mwenzi wake alizozizowea. Pia labda itabidi nywele awe an ziweka vizuri, safari za Saloon haziishi ili jamaa mpya azidi kudata. Kama ni Mr. ndo usiseme, grooming kwa sana na perfume perfume ili mtoto asimwone kapitwa na wakati.
 
Michelle

Je ikitokea ukakutana na irresistible ukajikuta umefika mwisho wa safari bila kukusudia je. Au pia huyo bf wako pia akafika point of no return na huyo mpya.
 
Last edited by a moderator:
Samawati

Sama inaweza kuwa alikuwa anacheat ama si hivyo. hizi ni dalili tu. Ili kujua ukweli ilitakiwa uende next stage ya kumchunguza. Ukitaka ushauri zaidi unaweza kupata msaada wa Intelligensia mahali. Ni Kiboko ya kuwanasa Cheaters.
 
Last edited by a moderator:
We nawe umezidi!Mpaka kuhack email ya mwenzio...!?

Haikuwa kuzidi, sikia ilivyokuwa;
Mi nilikuwa gheto naperuzi net kwenye PC yangu akaja tukawa tunapiga stori. Baadae kidogo nikatoka kwenda dukani akasign out mail yangu akaingia yeye. Sasa niliporudi na kuingia ndani nikakuta yupo kwenye PC ila kitendo bila kuchelewa akaquit application nzima punde tu niliposogea jirani naye wakati alikuwa very interesting na kitu fulani wakati huo huo alikuwa anachat kwenye yahoo messenger.

Nikamuuliza mbona umequit bila kusign out akafungua tena akasign out. Kumbuka yeye ana password yangu ila mimi sina yake, nikapata ishara kuna kitu ananificha. Kesho yake nikahack mail yake ofisini na nikaprint madudu yake yote a-z, kufika home nikamuuliza kama ana uhusiano na mtu mwingine akakataa nikamkabidhi printout za mail zake akaduwaa
 
Michelle

Amazing Gal . . . . hata hivyo una bahati. Hujakutana na Professional Cheaters. they dont leave a stone unturned. Waulize Wakuu wa Jukwaa juu ya Rules za Infidelity . . . LOL
 
Last edited by a moderator:
Je ikitokea ukakutana na irresistible ukajikuta umefika mwisho wa safari bila kukusudia je. Au pia huyo bf wako pia akafika point of no return na huyo mpya.

Duuuuuuuuh,Mungu anisaidie na aepushe,sitaki kuwa chanzo cha break up......ikitokea nitamwambia na kusema samahani,then tutalizungumza na kuamua hatma ya uhusiano wetu.....mi sina kipingamizi mwanaume akishaamua kuwa na msichana mwingine,siwezi mlazimisha,naye pia hawezi nilazimisha nikipenda na kuamua mimi na yeye basi......nitalia tu kama kawa then maisha yataendelea......:A S 20::A S 20:
 
Wa Ndima

Mkuu, umenichekesha sana . . . karibu kwenye Club ya Private Intelligence. Utafaa sana wewe. Tutengeneze pesa . . . LOL
 
Last edited by a moderator:
Hapa ni kweli kabisa mimi ilishanikuta hii na nilipo hack mail yake nikakuta ushahidi wa kufa mtu. Uhusiano ukaishia hapo.

Mkuu hebu nipatue ujuzi wa kuhack email....ili niweze kufuatilia maswala kama hay kwa karibu!!! maana naona dalili karibu zote hapo juu mwenzawangu anazo!!
 
Mwongozo mzuri ila naweza nikatoa maelezo yanayopinga hizo dondoo zote kua za mtu anaecheat!!Tena sio kwa kubahatisha ila kwakua nimeona na kupitia mwenyewe!Kwahiyo inawezekana zikaashiria kucheat au ikawa kwa sababu nyingine tofauti kabisa!
ulisha-cheat au kuwa cheated?@Lizzy
 
Mkuu hebu nipatue ujuzi wa kuhack email....ili niweze kufuatilia maswala kama hay kwa karibu!!! maana naona dalili karibu zote hapo juu mwenzawangu anazo!!

Wa Ndima kama nilivyosema hapa ni kutengeneza pesa tu. Njoo kwenye Club wako Chaters kibao na wenzi wako desparate kupata ushahidi . . . LOL joking . . . .

Hebu Msaidie Mkuu Papa Diana hata kwenye PM kama hapa huwezi.
 
Amazing Gal . . . . hata hivyo una bahati. Hujakutana na Professional Cheaters. they dont leave a stone unturned. Waulize Wakuu wa Jukwaa juu ya Rules za Infidelity . . . LOL

ha ha ha ha ha, trust me nimekutana nao,kitu kimoja tu,i take my time to make my desicions na when taking time,i discover lots of things about them like si wavumilivu, hawa- keep promises, au nawapima na yule niliye naye.....mwishowe nafikia ku-appreciate yule niliye naye na kusema ukweli then maisha yanaendelea.......most players lack consistency and you can easily know their intentions if you read between the lines of their words.......time tells it all,ishu watu wengi wanakurupuka.........i must also admitt,nimedanganywa sana kabla ya huyu so players nawafahamu vizuri....l.o.l
 
Mkuu, umenichekesha sana . . . karibu kwenye Club ya Private Intelligence. Utafaa sana wewe. Tutengeneze pesa . . . LOL

Mkuu hebu nipatue ujuzi wa kuhack email....ili niweze kufuatilia maswala kama hay kwa karibu!!! maana naona dalili karibu zote hapo juu mwenzawangu anazo!!

Unataka kuja kuua? Yahitaji moyo mkuu, mi kalibia nizimie kupitia mail moja baada ya nyingine
 
Kama hukufunga ghafla its Ok na ana haki ya kupewa attention. Lakini kama ulifunga ghafla huku kiroho kinakudunda na kijasho kwa mbali . . . hapo lazima kutakuwa na mushkeli mkuu.

Kuna wakati mwingine unaweza kuwa na mawasiliano na mwanamke mwingine lakini huna nia ya kucheat nae,sema huwa mtu anaficha kwa vile anajua tu kwamba mwenzake hawezi kumuelewa.Na pia kwa upande wa wanawake wapo wenye marafiki wa kiume ambao hawana nia ya kucheat nao sema inakuwa vigumu kwetu kukubaliana na swala hilo.Sasa situation kama hio ndio unaweza ukakuta mwenzako kaingia ghafla unastuka unajaribu kuficha simu kama ulikuwa una text au kufunga pc hili kuepusha shari tu si kwamba una nia mbaya.
 
Husn kwa kuwa umesema ni ukweli mtupu bila ya shaka una experience fulani. Please share with us.
.


nilikuwa katika uhusiano ambao nilikuwa siufuraii tena. Nilijihisi nahitaji kuwa single kwa kipindi kile.
Kwa sababu nilikuwa sitaki kuwa karibu tena na jamaa kuna mambo baadhi uliyosema nilikuwa nayafanya.
Kwahiyo hizo dalili sio tu kwa mtu anayecheat. Ni applicable hata kwa yule anayetaka kuvunja relationship kwa sababu zake zingine.
 
Back
Top Bottom