Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,191
- 5,179
Nambie...Akianza mambo ya kukuambia "niambie" ndio basi tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nambie...Akianza mambo ya kukuambia "niambie" ndio basi tena.
Atakuwa mwalimu mkuu huyo 😅!!! Sema wahuni mmeteseka sana na mapenzi dah🤣Ukimpigia cm anataka uongee point, ukimtania au ukimchekesha kidogo anakata cm, hapend maongez marefu
Nenda kwa mwamposa akakutoe hilo pepoMimi nikishafanyaga na mwanaume nakosa hamu yakuwa naye ndio imetokaga sijui kwanini.
Hio ndio tofauti ya kugongwa baina ya kapuku na Danga! Kinachokuweka kiko wazi wala haihitaji degree😅 kukitambuaSijui hata ila chakushangaza jambo moja huyu baba niliyenaye ilimekuwa zaidi ya mara moja
Ahahahahhaha 😅 huu uzi unanipa burudani sana! Utiliwe Laminesheni tafadhaliUkijibiwa usku mwema ,afu n ndo kwanza asubuh
Kipi hicho😅Nikiona unaendelea kufanya kinachoamsha wivu wangu mara ya kwanza
Ya pili
Ya tatu kwaheri
Wakubwa tulikua wadogo jana na tulipitia changamoto zote hizi.Kumbe hadi wakubwa mnanyooshwa 😅 kweli mapenzi hayana Fundi!
Ni kweli kabisaWakubwa tulikua wadogo jana na tulipitia changamoto zote hizi.
Ujue shughuli hamna hapoUkituma meseji leo anajibu kesho au keshokutwa
Ukimpigia anasema "nina kazi" au anakata simu ,
Yeye hajawahi kukupigia wala kukutext
Sawa bana 😀 japo inaumaHahahahahah acha usumbufu wewe 😅
Hapi mimi sikuelewi kwa maana sio uchunaji ni sijisikii kuwa na mtu tena nikashasex naye .Hio ndio tofauti ya kugongwa baina ya kapuku na Danga! Kinachokuweka kiko wazi wala haihitaji degree😅 kukitambua
Ndio halafu ukishaona hivyo kwanini unaendeleaUkituma meseji leo anajibu kesho au keshokutwa
Ukimpigia anasema "nina kazi" au anakata simu ,
Yeye hajawahi kukupigia wala kukutext
Sio idadi tu uncountable tu ila nikiwahesabugi ni arusha to dsm au uganda msafara wa hao mamba kenge ndio mieIdadi itakuwa uncountable...
Sasa nikwambie nini?Nambie...
Chochote tu😍Sasa nikwambie nini?
Hahahaaa kwa kweli tunateseka , ila asilimia kubwa 77% ambao vipato vyetu vya kuunga ungaAtakuwa mwalimu mkuu huyo 😅!!!
Sema wahuni mmeteseka sana na mapenzi dah🤣