Dalili gani inaonesha kwamba una-force mahusiano?

Deeboyfrexh

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
1,845
2,000
Ukiomba namba akakukazia na kukwambia nipe tu yako nitakutafuta ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… my Frende endelea na utaratibu wako wa maisha tu!
 

munisijo

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
1,077
2,000
HELA:

Hela nafikiri ndio dalili na kipimo kikubwa kuliko vyote; kama hakupi hela, wewe tu ndio unampa hela na yeye hajitikisi zaidi tu ya kusema asante sana my ... hilo ni bomu na unatakiwa ufungua macho yako haraka sana.

Najua utasema hana kazi, mara hana kipato, sijui ni jobless - sawa kabisa but mtu anayekupenda ukiacha zawadi kama hana kawaida ya kukupa hela, then piga chini; kama hata nauli ya daladala, boda, bajaji ama hata taxi hajawahi kukupa then mzee baba una force love, kimbia.

So hela ndio kipimo kikubwa kuliko vyote kuwa una force love
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom