Dalili 6 zinazoonyesha mpenzi wako hajaachana na ex wake

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,182
3,547
1.Ukiona mpenzi wako kila unapomuomba tendo la ndoa anakwambia subiri au usubiri au unakupiga kalenda ujue bado hajaachana na ex wake

2.Ukiona mpenzi wako kila mkiongea anataka uwe unaongea point

3.Ukiona mpenzi wako kipindi akiwa na shida huwa ana speed sana ya kukutafuta alafu shida ikiisha speed inapungua

4.Ukiona ndani penzi lenu mpenzi wako hana wivu wewe ujue bado yupo na ex wake

5.Ukiona mpenzi wako kitu kidogo mkikosana anataka muanze kupeane break

6.Ukiona mpenzi wako ukianza kumpotezea yeye ndo anaanza kukutafuta kwa kasi ya 4G ujue tiyali

Haya unaweza kuendeleaa
 
1.ukiona mpenzi wako kila unapomuomba tendo la ndoa anakwambia subili au usubili au unakupiga kalenda ujue bado hajaachana na ex wake

2.ukiona mpenzi wako kila mkiongea anataka uwe unaongea point

3.ukiona mpenzi wako kipindi akiwa na shida huwa ana speed sana ya kukutafuta alafu shida ikiisha speed inapungua

4.ukiona ndani penzi lenu mpenzi wako hana wivu wewe ujue bado yupo na ex wake

5.ukiona mpenzi wako kitu kidogo mkikosana anataka muanze kupeane break

6.ukiona mpenzi wako ukianza kumpotezea yeye ndo anaanza kukutafuta kwa kasi ya 4G ujue tiyali

haya unaweza kuendeleaa
Hiyo namba 5 ukweli mtupu, sometimes wanakasirika bila sababu, mimi wa kwangu alikuwa yupo vizuri ana shepu ya maana,akaniambia tuachane huku akajitapata anarudi kwa ex wake , baada ya miezi mitatu alirudi kunitafuta nikamfungia vioo mazima, alimtafuta mpaka sister wangu amwombee msamaha miaka miwili mfululizo bado nikala bati,nilitaka nimtumie kingono ila sema tu brother wake ni mshikaji wangu sana na yule binti alikuwa ktk plan zangu kabisa za kuoa, ila alizingua mwenyewe.
 
Mimi nkijua mtu anawasiliana na Ex wake io stori inaishia hapo simuamini tena

Na nisipomuamini na mapenzi yanaisha

Short and clear
 
1.ukiona mpenzi wako kila unapomuomba tendo la ndoa anakwambia subili au usubili au unakupiga kalenda ujue bado hajaachana na ex wake

2.ukiona mpenzi wako kila mkiongea anataka uwe unaongea point

3.ukiona mpenzi wako kipindi akiwa na shida huwa ana speed sana ya kukutafuta alafu shida ikiisha speed inapungua

4.ukiona ndani penzi lenu mpenzi wako hana wivu wewe ujue bado yupo na ex wake

5.ukiona mpenzi wako kitu kidogo mkikosana anataka muanze kupeane break

6.ukiona mpenzi wako ukianza kumpotezea yeye ndo anaanza kukutafuta kwa kasi ya 4G ujue tiyali

haya unaweza kuendeleaa
Kwa kuongezea ukiona

Ukiona tuu mpenzi wako kipindi cha sex hakatiki kiuno ujue huyo bado hajawa rasmi wa kwako
 
Kila mpenzi ana mpenzi wake, ukitaka kuingia kwake ni kwamba lazima alinganishe mizani kati yako na yule.

Hivyo basi, kama lengo lako ni kuvamia utawala mpya jipange tu…. display the best you can be compared to opponents.
 
Back
Top Bottom