Dalali wa machungwa

Davion Delmonte Jr.

JF-Expert Member
Oct 27, 2013
2,149
1,710
Husika na kichwa hapo juu... Natafuta dalali wa kuniuzia machungwa yangu nakuja nayo dar yapo kama 40000 hiv.. Kwa mzoefu wa hiz anijuze kwa pm.. Faida itayotoka atakula 25 percent

Chungwa ni la ukweli kutoka muheza... Ukila lazima ukae chini aiseeee...
 
Hahaha ok mkuu ngoja atakuja tu hyo dalali
Wa machungwa
 
Husika na kichwa hapo juu... Natafuta dalali wa kuniuzia machungwa yangu nakuja nayo dar yapo kama 40000 hiv.. Kwa mzoefu wa hiz anijuze kwa pm.. Faida itayotoka atakula 25 percent

Chungwa ni la ukweli kutoka muheza... Ukila lazima ukae chini aiseeee...
Mbona hiyo deal sana ungesema mapema ungekula doollar usilete dar deal ni9 kenya
 
Back
Top Bottom