Daladala nyingi za Bunju na Tegeta zimekodiwa na CHADEMA, kuna nini leo jijini Dar es Salaam?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,607
141,429
Mabasi mengi ya daladala yanayofanya kazi kati ya Makumbusho, Bunju, Tegeta na Mbweni yamekodiwa na CHADEMA kubeba wanachama wake na yanapeperusha bendera za CHADEMA.

Nauliza tu bwashee Mmawia, Salary Slip na tindo leo mna shughuli gani jijini DSM maana kama ni kampeni nadhani mlishazindua jana kule Mbagala.

Nawatakia Sabato yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
 
Weka ushahidi was picha kama hizi za asubuhi hii tukiwasili Jamhuri Dodoma tayari kwa tamasha la bure.
CHONDE CHONDE CCM; Wengine mmetuchukulia mbali, mambo ya kutuacha bila usafiri wa kuturudisha mnatutesa sana.
IMG_20200829_085829.jpg
 
Hizi ni picha za Kigoma wakati ule wakimbizi wakirejeshwa kwao. Ndiyo maana kwa chini kulia (hapo kwenye bodaboda) kuna bendera za ccm
 
Weka ushahidi was picha kama hizi za asubuhi hii tukiwasili Jamhuri Dodoma tayari kwa tamasha la bure.
CHONDE CHONDE CCM; Wengine mmetuchukulia mbali, mambo ya kutuacha bila usafiri wa kuturudisha mnatutesa sana.
View attachment 1551465
Unafikiri wasingekuwa wanapenda Sera za hao wanaoenda kuwasikiliza wangekubali kubanana kwenye maroli hayo.

Mapenzi ya Wananchi yapo kwa Anko Magu hivyo wapo tayari hata kupanda tela la punda ilimuradi wafike dodoma leo.
 
CHADEMA hii hii inayo omba michango ya wanachama wamekodi Magari yote ya Bunju na Tegeta?
Hizi ni picha za Kigoma wakati ule wakimbizi wakirejeshwa kwao. Ndiyo maana kwa chini kulia (hapo kwenye bodaboda) kuna bendera za ccm
 
Back
Top Bottom