Daladala na Traffic Jam,Je Nundu was right?

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,372
2,374
Moja ya kero kuu katika barabara za Dar ni uendeshaji na uegeshaji holela wa madaladala hivyo kusababisha msongamano hata sehemu zisizokuwa na magari mengi.Je uamuzi wa waziri Nundu kuwastopisha wale majembe ni sahihi kweli?maana jamaa walikuwa serious na daldala bila adhabu nene hawaishi vurugu...kila jema linazuiwa,kwa maslahi ya nani? Maana hata majuzi JP magufuli naye kapigwa stop kiaina.
 
Nadhani traffic pia waliona wanakosa ulaji wakasupport wenye dalaldala kuwa wanaonewa.bila adhabu kali uzembe hautaisha na ni zoezi litakalokuwa sugu kulisitisha
 
Back
Top Bottom