Daladala kwa foleni inanikumbusha mbaliiii

Mnyamahodzo

JF-Expert Member
May 23, 2008
1,932
985
SAM_0978.JPG
Askari wanasimamia ushukaji wa abiria na upandaji wake. yote kwa foleni.


SAM_0980.JPG
Toka mbali waweza kuona urefu wa msululu wa abiria.

Hii ilikuwa 22 Novemba 2012 pale Muhimbili baada ya kutoka kuona wagonjwa jioni.

Picha: Ni kwa hisani ya rafiki yangu, nasema asante sana.
 
kwa kweli ni ustarabu wa hali ya juu, niliikuta SA hii, hakuna shobo kabisa
 
Back
Top Bottom