Daladala bongo (my true story)

mamanalia

JF-Expert Member
Nov 7, 2009
667
146
Wana JF last week nilikuwa natoka job na kusimama na sista du mmoja pale posta kituoni tukisubiri gari ya mbezi ya kimara, ilipokuja watu waligombea kinoma mie mwenyewe ilibidi nikae pembeni ili kunusuru afya, usalama na ustaarabu wangu. Lakini kutahamaki nilimuona yule sister du amepata siti tena ya dirishani, duh niliishiwa nguvu na kushangaa kuona aliwezaje kuingia pale mlangoni angali alionekana very soft and civilized. Ilibidi tu nitembee hadi akiba ili nizunguke na bus. Toka siku hiyo niko radhi hata nikope lakini nihakikishe anytime my car is working. Kweli ukitaka uone usumbufu wa daladala dar subiri siku uharibikiwe na gari.
 
Nyie ndio mnatuongezea folen sis tunaotumia public car. Utakuta familia ina watoto wa3 wote wana magar na yote yanatoka. Mnanikera. Mnatuongezea folen.
 
Mimi nimeshawahi kugombania mlango mara kadhaa lakini cha ajabu mpaka naingia ndani nikiwa kama mtu wa 3 au 4 hivi nakuta viti vyote vimejaa tena wadada na wamama wa makamo waingilia dirishani zamaaani wamekaa utadhani walikuwepo tangu jana humo ndani ya gari.
 
Wana JF last week nilikuwa natoka job na kusimama na sista du mmoja pale posta kituoni tukisubiri gari ya mbezi ya kimara, ilipokuja watu waligombea kinoma mie mwenyewe ilibidi nikae pembeni ili kunusuru afya, usalama na ustaarabu wangu. Lakini kutahamaki nilimuona yule sister du amepata siti tena ya dirishani, duh niliishiwa nguvu na kushangaa kuona aliwezaje kuingia pale mlangoni angali alionekana very soft and civilized. Ilibidi tu nitembee hadi akiba ili nizunguke na bus. Toka siku hiyo niko radhi hata nikope lakini nihakikishe anytime my car is working. Kweli ukitaka uone usumbufu wa daladala dar subiri siku uharibikiwe na gari.
ha
ha ha ..mkuu nimeipenda hii stori..mazingira yanawafanya masista do wetu wakomae ...sio fresh hata kidogo
 
tunashukuru kufahamu kuwa na wewe una gari lako,, hivi ni aina gani vile
kama umeona hiyo adha siku mafuta yakishuka bei usinyime lifti mtu yeyote
 
Poleni sana wananchi wa Dar,zamani kulikuwa na usafiri Dar(UDA) hapa kulikuwa hakuna kugombania,kwa sababu gari hiyo ilikuwa na uwezo wa kuchukua abiria zaidi ya 50,pia kuna ndugu alikuwa amekerwa na mwezie kununua kau safiri ka binafsi hiyo sio mbaya,kwani watu wengi walishindwa kero za makoda pamoja na lugha zao chafu,Kwa hiyo ushauri wangu kwa serikali hii dhaifu isiyo na maamuzi makini,kufikiria jinsi ya kuifufua UDA iliilete ushindani kama mwanzo.
 
<font color="#222222">Wana JF last week nilikuwa natoka job na kusimama na sista du mmoja pale posta kituoni tukisubiri gari ya mbezi ya kimara, ilipokuja watu waligombea kinoma mie mwenyewe ilibidi nikae pembeni ili kunusuru afya, usalama na ustaarabu wangu. Lakini kutahamaki nilimuona yule sister du amepata siti tena ya dirishani, duh niliishiwa nguvu na kushangaa kuona aliwezaje kuingia pale mlangoni angali alionekana very soft and civilized. Ilibidi tu nitembee hadi akiba ili nizunguke na bus. Toka siku hiyo niko radhi hata nikope lakini nihakikishe anytime my car is working. Kweli ukitaka uone usumbufu wa daladala dar subiri siku uharibikiwe na gari.</font>
<br />
<br />
Ok,tushajua kuwa una gari,enhe...kingine?
 
Wana JF last week nilikuwa natoka job na kusimama na sista du mmoja pale posta kituoni tukisubiri gari ya mbezi ya kimara, ilipokuja watu waligombea kinoma mie mwenyewe ilibidi nikae pembeni ili kunusuru afya, usalama na ustaarabu wangu. Lakini kutahamaki nilimuona yule sister du amepata siti tena ya dirishani, duh niliishiwa nguvu na kushangaa kuona aliwezaje kuingia pale mlangoni angali alionekana very soft and civilized. Ilibidi tu nitembee hadi akiba ili nizunguke na bus. Toka siku hiyo niko radhi hata nikope lakini nihakikishe anytime my car is working. Kweli ukitaka uone usumbufu wa daladala dar subiri siku uharibikiwe na gari.
we inaonekana sharobaro
 
Mimi nimeshawahi kugombania mlango mara kadhaa lakini cha ajabu mpaka naingia ndani nikiwa kama mtu wa 3 au 4 hivi nakuta viti vyote vimejaa tena wadada na wamama wa makamo waingilia dirishani zamaaani wamekaa utadhani walikuwepo tangu jana humo ndani ya gari.
Mmewasahau wale kina mama gari likisimama tu wanakuwa tayari mlangoni kwa dreva na kumshusha haraka waingilie pale ukienda mwanamme wanakucheka.
 
<font color="#222222">Wana JF last week nilikuwa natoka job na kusimama na sista du mmoja pale posta kituoni tukisubiri gari ya mbezi ya kimara, ilipokuja watu waligombea kinoma mie mwenyewe ilibidi nikae pembeni ili kunusuru afya, usalama na ustaarabu wangu. Lakini kutahamaki nilimuona yule sister du amepata siti tena ya dirishani, duh niliishiwa nguvu na kushangaa kuona aliwezaje kuingia pale mlangoni angali alionekana very soft and civilized. Ilibidi tu nitembee hadi akiba ili nizunguke na bus. Toka siku hiyo niko radhi hata nikope lakini nihakikishe anytime my car is working. Kweli ukitaka uone usumbufu wa daladala dar subiri siku uharibikiwe na gari.</font>
<br />
<br />

Is this what you call a 'story', wakati ndo maisha ya sisi wengi hapa Dar?
Si bora hao wana uwezo wa kupanda daladala?
Ukiwa kwenye gari lako au daladal toa macho yako nje uone watu watembeao kwa mguu. Usifikiri hayo ni maandamano au mazoezi, hiyo ni safari ya kazini au nyumbani inaweza ikawa k'koo / ubungo - kimara etc.
Hii si story hata kidogo it's a normal life style which we're unwillingly used to live with, haitupi shida ila tunasononek.
 
Nilidhani ni mbagala pekee kwenye adha ya kupitia dirishani!!!
aine mambo umeadimika siku hizi.
Mi sipendi daladala za muhimbili watu tunagombania mlangoni wengine wanapitisha vikapu madirishani ukiingia ndani siti zote zina vikapu inabidi usimame pamoja na kuchafuliwa nguo/viatu mlangoni.
 
tunashukuru kufahamu kuwa na wewe una gari lako,, hivi ni aina gani vile
kama umeona hiyo adha siku mafuta yakishuka bei usinyime lifti mtu yeyote

hi bro let me try to drill ur words..! sio vizuri mwana kumwambia mwenzio hayo uliyo mwambia nadhani hata wewe unaona kua hauko sawa au ni viipi mkubwa..!
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom