Daladala ama vifodi arusha wamegoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Daladala ama vifodi arusha wamegoma

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nzom, May 4, 2011.

 1. n

  nzom Senior Member

  #1
  May 4, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 164
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Katika lile wimbi la nini kitatokea kwani leo katika manispaa na viunga vyaka usafiri wa watu maarufu kama vifodi wamegoma kisa kupanda kwa mafuta na gharama kuongezwa katika kile cha kuitaka sumatra kuridhia ombi lao la kuapandisha nauli
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,830
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Hawa jamaa wa Vifodi nao bana wananiudhi tabia yao ya ku force watu wanne wakae pale mbele huwa nawakatalia wananiona mbaya saaaaaaana
   
 3. I

  IRAQW MINING Member

  #3
  May 4, 2011
  Joined: Apr 18, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Embu tupashe zaid nn kinaendelea hapo A town!
   
 4. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #4
  May 4, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,340
  Likes Received: 473
  Trophy Points: 180
  Mkuu bado vifodi vipo tu A town?Sijayia timu huko kama miaka 5.Poleni kwa ongezeko la nauli,maisha yanabana sana.
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  May 4, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,221
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Kibiashara wana kila haki ya kufanya hivyo....
   
 6. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #6
  May 4, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,153
  Likes Received: 844
  Trophy Points: 280
  Vibasi vilivyo goma ni vya kwenda Usa - River - Arusha
   
 7. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #7
  May 4, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,723
  Likes Received: 1,229
  Trophy Points: 280
  Mbona asubuhi nimekuja navyo,....anyway wana haki lakn
   
 8. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #8
  May 4, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,153
  Likes Received: 844
  Trophy Points: 280
  Na tatizo ni kwamba wameambiwa na sumatra wapunguze nauli kutoka 500 mpaka 350....
   
 9. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #9
  May 4, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,153
  Likes Received: 844
  Trophy Points: 280
  Lakini katika kutimiza ule usema wa kufa kufaana leo TOYO zimepata biashara ambayo sijui kama itatokea tena....
   
 10. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #10
  May 4, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,221
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Heheheh.....ndo ule msemo wa ''susa wenzio twala'' umetumika kikamilifu!!!
   
 11. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #11
  May 4, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,995
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  MGOMO UNAENDELEA MTINDO MMOJA TANGU MAJIRA YA SAA TATU NA BILA SHAKA ITAENDELEA MPAKA KIELEWEKE,NA MGOMO NI WA NJIA YA NGARA NA USA na hp nilipo nao Tax inapakia kila kichwa kwa Tsh 500 toka Sakina hadi town na haondoshi bila hajapakatana. Nitawahabarisha nionapo jipya wanaJF. Nipo A town hp Mianzini yenye mkusanyiko mkubwa wa wa2 na ukizingatia ni mchana. Je? Majira ya wa2 kutoka maofisini itakuwaje? Subirini na 2one.
   
 12. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #12
  May 4, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,995
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Naona Hiace moja naona kama kipo doria kt ya Mjini na Ngaramtoni yani wanasema wakibamdaka mwenzao ambaye anaenda kinyume na maagizo yao hakika wameapa watamfanya mfano. Yatakayojiri ntajulisha.
   
Loading...