Dala dala jijini dar ni gari gani inayofaa kiuzalishaji (value for money)


CONSULT

CONSULT

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2011
Messages
227
Likes
57
Points
45
CONSULT

CONSULT

JF-Expert Member
Joined May 8, 2011
227 57 45
Salaam wana JF, mimi pamoja na changamoto nyingi za kiuongozi za biashara hii nimeamua kuifanya, kwa wale wadau wa biashara hii, naomba mnijuze ni aina gani ya gari inayo faa ? tukizichambua kama ifuatavyo
Category 'A' aina ya gari
1. Mpya kabisa-mfano tu(TATA 78mln, EICHER 62mln)
2.Used Japani-mfano(Isuzu Journey40mln,Nissan Civillian 38mln,Toyota Caster48 mln,Mitsubishi Rosa,Hino 34mln,)
3.Reconditioned Nzee-mfano tu (DCM 25mln, EICHER 22mln)

Category 'B' Idadi ya ya abiria na mawakilisho kwa mfano tu
1.25-29 -70,000-80,000
2.30-38 -90,000-100,000
3.39-44 -100,000-120,000

Taarifa ni za kukisia mm sio mzoefu, Unaweza kuzirekebisha ilituwe sahihi kwenye ushauri wetu na maoni kadri mtu ajuavyo
Lengo kuu ni gari gani itanipa faida kumbwa kuliko zingine na kunilipa mapema zaidi kuliko zingine
 

Forum statistics

Threads 1,274,855
Members 490,833
Posts 30,526,037