Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,001
- 9,866
Daktari bingwa wa Pua, Koo na Masikio katika Hospitali ya Mnazi Mmoja Zazibar, Masoud Hakim Bakari amesema baada ya kupata chanjo ambayo imeanza kutolewa kwa watumishi wa Afya Zanzibar alipata uchovu kidogo kwa siku hiyo.
Hata hivcyo amesema ni jambo la kawaida kwa mwili kuwa na ‘reactions’ fulani wakati wa kupokea chanjo yoyote. Hivyo ametoa wito kwa watu kujitokeza kupata chanjo hiyo ambayo itapunguza hatari ya maambukizi.
Zanzibar inatoa chanjo ya Sinovac kutoka China kwa watumishi wa afya ambao wako hatarini zaidi katika kupata maambukizi ya #COVID19.
BBC Swahili