Daktari wa Uganda wa kujitolea afariki kwa EBOLA Liberia

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
Daktari kutoka Uganda aliyeenda Liberia kupambana na ugonjwa hatari wa ebola amefariki dunia baada ya kuugua ugonjwa huo.

Serikali ya Uganda pia ilipeleka wataalamu kusaidia uko West Africa.

===========


Another Ugandan doctor, John Taban Dada, has died of Ebola in West Africa. Dada, a gynaecologist and surgeon, died Sunday morning in the Liberian capital, Monrovia.

88cee6_5439881de2b648b38c654c30996c61b6.jpg_srz_p_214_184_75_22_0.50_1.20_0.00_jpg_srz


The health ministry confirmed the death, but said Dada was not among the 20 health workers sent to fight Ebola in West Africa.

"We shall call Liberia and find out. Some organisations are recruiting people without consulting us," said Dr. Jane Aceng, the director general of health services.

Dada is the second Ugandan doctor to die of Ebola in Liberia, after Dr. Samuel Muhumuza Mutooro, who died in July. Last week, another Ugandan, Dr. Michael Mawanda, a paediatrician, was flown to Germany for specialised treatment after he was diagnosed with Ebola in the neighbouring Sierra Leone.

He is still undergoing treatment. All three had been working in the respective West African countries under different international medical aid agencies before the outbreak.

Various news agencies quoted the Liberian health minister, Tolbert Nyenswah, as saying Dada would be immediately buried on Sunday, in accordance with the policy of quick burial of Ebola victims.

So far, four doctors have died of Ebola in Liberia, of whom two are Ugandan.

Ebola has killed more than 3,800 people since it broke out in West Africa, including more than 200 health workers, according to the latest World Health Organisation figures.

The majority of those deaths have been in Guinea, Liberia and Sierra Leone. Colleagues said Dada had been working at the John F. Kennedy Memorial Centre, the largest hospital in Liberia.

He served as the medical director of the Redemption Hospital in Monrovia from 2008 to 2013, before moving on to take up the assignment at the country's largest hospital.

Dr. Atai Omoruto, a Ugandan doctor heading the newest Ebola treatment centre at what used to be Island Clinic in the western suburbs of the city, expressed shock at the death of Dada, describing him as a very quiet and dedicated man.

"I did not know he has passed on; it is unfortunate that we are still losing so many health workers," she told AP.

"This Ebola really ... it has come for the health workers," she said, "because right now at Island Clinic, we have almost 10 health workers admitted, including doctors from JFK and laboratory technicians and nurses."

Meanwhile, the first person to be diagnosed with Ebola in the US, Thomas Eric Duncan, died on Wednesday in Dallas.

And the health of the Spanish nurse, Teresa Romero, who is the fi rst person to contract Ebola outside of West Africa, has deteriorated.

Agencies said Teresa Romero is now being helped to breathe. Two doctors who treated her have also been admitted for observation.

Source:
Another Ugandan doctor dies of Ebola
 
Ohoooo.. Nasikia kuna madaktari wa kitanzania nao wameeenda huko..! Aiseee hili gonjwa ni balaa.. Ewe Mwenyezi Mungu tuepushie janga hili..
 
Mungu Apishilie mbali ndugu zetu warejee salama. japo siungi mkono wao kwenda huko.
VIHERE VIHERE VYETU IPO SIKU VITATUPONZA.
 
Ujasiri wa hawa madaktari waqnaojitolea sijaweza kuwaelewa

Hawa ni madaktari wa wito, madaktari walioitwa hawawezi kuvumilia kuona watu wanakufa kirahisi rahisi. Madaktari wa aina hii wanapungua sana kwenye nchi masikini kama yetu kwa sababu ya sera mbovu za elimu.

Kwa mfano Tanzania, wanafunzi wa udaktari wanapewa mkopo asilimia 100 wakati wanafunzi wa taaluma nyingine hawapati mikopo, kwa nini watu wasikimbilie kusomea udaktari?
 
Hmmmmm! Je hili linatokea pia Tanzania!?

“We shall call Liberia and find out. Some organisations are recruiting people without consulting us,” said Dr. Jane Aceng, the director general of health services.
 
Hmmmmm! Je hili linatokea pia Tanzania!?

“We shall call Liberia and find out. Some organisations are recruiting people without consulting us,” said Dr. Jane Aceng, the director general of health services.

Mi nilidhani walienda kujitolea kutibu ebola...kumbe walikuwa kule before the outbreak...sasa wangekimbiaje? wanede wapi na hapo ndio kazini kwao?
 
Hmmmmm! Je hili linatokea pia Tanzania!?

"We shall call Liberia and find out. Some organisations are recruiting people without consulting us," said Dr. Jane Aceng, the director general of health services.
.

Hatari!!!! inafaa kila daktari anayejitolea kwenda huko anapta idhini ya serikali
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mkuu Serikali yenyewe hii ya Tanzania!? Haijali kabisa maslahi ya Watanzania wanachojali wao ni sifa tu bila kujali athari kubwa sana kwa Taifa.

.

Hatari!!!! inafaa kila daktari anayejitolea kwenda huko anapta idhini ya serikali
 
Mie wa bongo ndo sitaki hata waniguse...kwani hao ndio nimepoteza imani nao kabisa. R.I.P dk wa uganda.
 
.

Hatari!!!! inafaa kila daktari anayejitolea kwenda huko anapta idhini ya serikali

Ondoa hiyo Avatar yako inadharilisha Jeshi letu pendwa la Polisi...

Polisi ni watu Poa sana la sivyo wengi tungekuwa Jela mnafanikiwa kutoa Rushwa kwa makosa mengi ya barabarani na mnadunda...
 
Back
Top Bottom