Daktari wa mifugo...

Wakukaja

New Member
Mar 5, 2010
4
0
Yeyote anayehitaji huduma ya matibabu na maendeleo ya mifugo ya aina zote basi ninaomba aniPM kwa mawasiliano zaidi.

Nashukuru sana kwa ushirikiano na mnakaribishwa!

Kila la kheri!
 
Yeyote anayehitaji huduma ya matibabu na maendeleo ya mifugo ya aina zote basi ninaomba aniPM kwa mawasiliano zaidi.

Nashukuru sana kwa ushirikiano na mnakaribishwa!

Kila la kheri!

Upo eneo gani la Tanzania?
 
Daktari,

1. Nahitaji kupandisha ng'ombe wangu kwa sindano, specie bora ni ipi? (I.e. Lita kumi atleast kwa mtu aliyeko DSM)
2. Gharama yako nikikuita umchome sindano ya joto and then hiyo ya kupandisha ina cost kiasi gani?

Nawakilisha.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom