Daktari wa mifugo

analysti

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
729
612
Mimi ni daktari wa mifugo mwenye degree ya veterinary medicine i.e. Bachellor in Veterinary Medicine (BVM), Nipo Dar-es-salaam. Ninatoa Huduma kwa wafugaji wa: Kuku na Ng'ombe ili kuzuia na kutibu maradhi na kuongeza uzalishaji hatimaye kuongeza kipato, Mbwa na Paka ili kuzuia magonjwa na kuboresha afya, kwa Mkataba maalumu kati ya Mfugaji na Mimi, na malipo ni kiasi kidogo kwa mwezi. Kazi yangu ikiwa ni
- Kutembelea wanyama wako mara kadhaa kwa wiki (kutegemeana na mkataba na aina ya wanyama)
- Kutoa Tiba au ushauri katika kila Visit kwa ajili ya kutibu, kuzuia ugonjwa au kuongeza uzalishaji
- Kushirikiana na mfugaji katika mipango ya masoko
NB: Mfugaji utashauriwa kununua mahitaji yanayo hitajika ikiwa ni pamoja na madawa

Kumbuka kuwa wafugaji tunapata hasara kubwa kwa
-kutibu maradhi ambayo yangeweza kuzuilika kwa kupata ushauri sahihi kwa muda sahihi
- Kupata mazao duni kutokana na ufugaji usiokuwa wa kitaalamu

Kwa maelezo zaidi niandikie
 
umesomeka Dr. just be careful, dont sleep with ur pecients hasa wa kike!!! Its ok, so many doctors do that, only that u r a Vet Dr. na wagonjwa wako ni:.............., .............,................., ...............nk.
 
Hiyo bold inapendeza. Vipi akilala na wakiume? Na je akija kwako akasleep na ng'ombe wako utafurahia kunywa maziwa?

Acha upuuzi!
 
Nashukuru sana kwa maoni yenu!! Nawakaribisha sana!!!.
 
Hiyo bold inapendeza. Vipi akilala na wakiume? Na je akija kwako akasleep na ng'ombe wako utafurahia kunywa maziwa?

Acha upuuzi!
busara uchelewa kuja tu kwa binadamu, lakini huwa inakuja.......siku ikija usiikatae!!!!
 
Jamani, i am advertising my business, mbona mnaongea mambo yasiyojenga?. Ni vizuri tukazungumza mambo ya maana zaidi.
 
Mimi ni daktari wa mifugo mwenye degree ya veterinary medicine i.e. Bachellor in Veterinary Medicine (BVM), Nipo Dar-es-salaam. Ninatoa Huduma kwa wafugaji wa: Kuku na Ng'ombe ili kuzuia na kutibu maradhi na kuongeza uzalishaji hatimaye kuongeza kipato, Mbwa na Paka ili kuzuia magonjwa na kuboresha afya, kwa Mkataba maalumu kati ya Mfugaji na Mimi, na malipo ni kiasi kidogo kwa mwezi. Kazi yangu ikiwa ni
- Kutembelea wanyama wako mara kadhaa kwa wiki (kutegemeana na mkataba na aina ya wanyama)
- Kutoa Tiba au ushauri katika kila Visit kwa ajili ya kutibu, kuzuia ugonjwa au kuongeza uzalishaji
- Kushirikiana na mfugaji katika mipango ya masoko
NB: Mfugaji utashauriwa kununua mahitaji yanayo hitajika ikiwa ni pamoja na madawa

Kumbuka kuwa wafugaji tunapata hasara kubwa kwa
-kutibu maradhi ambayo yangeweza kuzuilika kwa kupata ushauri sahihi kwa muda sahihi
- Kupata mazao duni kutokana na ufugaji usiokuwa wa kitaalamu

Kwa maelezo zaidi niandikie davidtraufoo@yahoo.com

Tumekupata mkuu, maana siku hizi wapo wa kichina(FEKI) wengi tu na dio hao wanaowashauri wafugaji waipe mifugo yao dawa kama ARV ili wanenepe hence mauzo yawe mazuri, Tunahitaji wasomi wa kweli kama wewe na si hao wa kubabaisha
 
mkuu mi nahitaji msaada wa kufanyiwa fumigation pale ninapoishi....wadudu wasumbufu ni mende na mbu....nimejaribu kutumia watoa huduma mbalimbali lakini nafikiri dawa zao ni feki kabisa......sababu hao wadudu wanarudi baada ya siku moja au mbili!!!!!naomba unishauri kama utaweza saidia...mpaka sasa sijui dawa orijino naweza pata wapi hapa bongo!!!
 
hii nzuri sana maanake na mimi nina mifugo yangu kule Liwiti nikitoka mkoani nitakutafuta father. Weka na namba za simu wengine hatupati hiyo fursa ya kuingia mtandaoni daily kwahiyo email addres pekee haitoshi otherwise nzuri
 
Back
Top Bottom