analysti
JF-Expert Member
- Aug 24, 2009
- 729
- 612
Mimi ni daktari wa mifugo mwenye degree ya veterinary medicine i.e. Bachellor in Veterinary Medicine (BVM), Nipo Dar-es-salaam. Ninatoa Huduma kwa wafugaji wa: Kuku na Ng'ombe ili kuzuia na kutibu maradhi na kuongeza uzalishaji hatimaye kuongeza kipato, Mbwa na Paka ili kuzuia magonjwa na kuboresha afya, kwa Mkataba maalumu kati ya Mfugaji na Mimi, na malipo ni kiasi kidogo kwa mwezi. Kazi yangu ikiwa ni
- Kutembelea wanyama wako mara kadhaa kwa wiki (kutegemeana na mkataba na aina ya wanyama)
- Kutoa Tiba au ushauri katika kila Visit kwa ajili ya kutibu, kuzuia ugonjwa au kuongeza uzalishaji
- Kushirikiana na mfugaji katika mipango ya masoko
NB: Mfugaji utashauriwa kununua mahitaji yanayo hitajika ikiwa ni pamoja na madawa
Kumbuka kuwa wafugaji tunapata hasara kubwa kwa
-kutibu maradhi ambayo yangeweza kuzuilika kwa kupata ushauri sahihi kwa muda sahihi
- Kupata mazao duni kutokana na ufugaji usiokuwa wa kitaalamu
Kwa maelezo zaidi niandikie