Leg length discrepancy huwa unarekbishwa kwa viatu maalam . ambayo vinachogwa baada ya kufanyiwa assesment nakujua chanzo, na tofauti ya urefu huoUnatibu leg length discrepancy?
ulishawahi kuwa na tatizo lolote kwenye huo mkono?Dr mie nikikunja vidole vya mikono vinaniuma sana na havijikunji mpaka mwisho
A good idea. Doctors are just in hands nowadays not necessarily to have consultations in hospitals. Well done
Kabisa Mkuu nakubaliana na wewe kabsaanashukuru. Lengo ni kukuza ufahamu wa waTanzania kuhusiana na matatizo ya viungo vya mwili na mchango wa wataalam wa Fiziotherapia katika kutibu matatizo hayo.
swala la consultation ni muhimu sana. na ningependa kila mtu athamini kuonana na daktari maana sio mambo yote yanaweza fanyika online.
online ni kuuza ufahamu juu ya tatizo lako la kiafya linalokusumbua na kukusogeza karibu na huduma husika.
Hivyo basi nafasi hii tuitumie vyema na iwe mwanga kuwatafuta wataalam husika(Fiziotherapia) kwa ajili ya matibabu zaidi.
nashukru
Sio structural niliambiwa inatokana na overuse ya upande mmoja na Bad postureLeg length discrepancy huwa unarekbishwa kwa viatu maalam . ambayo vinachogwa baada ya kufanyiwa assesment nakujua chanzo, na tofauti ya urefu huo
kuna mtaalam wa kuchonga kifaa maalam ambacho kinatumika kurekebisha huo utofauti.
wasiliana nami 0718 22 48 40 nikupatie huduma hyo
mgongo wako umepinda upande mmoja???Sio structural niliambiwa inatokana na overuse ya upande mmoja na Bad posture
Sidhani. Nikikaa na tabia ya kuegemea upande mmoja, na misuli iko stiff upande mmoja zaidi ya upande mwingine. Pia kuna historia ya maumivu ya lower back ambayo, diagnosis ni disc bulge.mgongo wako umepinda upande mmoja???
ok. tatizo la disc bulge lawezekana kusababisha misuli kukaza upande mmoja kutokana na mwili kujirekebisha ili kukwepa maumivu.Sidhani. Nikikaa na tabia ya kuegemea upande mmoja, na misuli iko stiff upande mmoja zaidi ya upande mwingine. Pia kuna historia ya maumivu ya lower back ambayo, diagnosis ni disc bulge.
ok. tatizo la disc bulge lawezekana kusababisha misuli kukaza upande mmoja kutokana na mwili kujirekebisha ili kukwepa maumivu.
Uligunduliwa kama una tatizo la disc bulge baada ya kufanya kipimo cha x ray? au MRI?
nataka nifahamu kwenye vipimo hivyo mgongo haukuonekana umepinda ?
maana kupendelea upande mmoja kuna weza kusababisha mgongo kupinda (scoliosis) au sacroiliac joint problem.matatizo haya yanaweza kupelekea structural difference ya uwiano wa miguu
Dr Sijawahi kuwa na tatizo lolote wala sijawahi kuvunjika,ulishawahi kuwa na tatizo lolote kwenye huo mkono?
ganzi?
kuvunjika?
maumivu ya shingo?
rheumatoid athritis?
maaana athari kama hizo hapo juu huweza kupelekea ukakamavu wa vidole na vidole kukosa nguvu ya kukunja hadi mwisho.
Dr sijawahi kuvunjika,wala hiii rheumatoid athritis sijawahi kuwa nayoulishawahi kuwa na tatizo lolote kwenye huo mkono?
ganzi?
kuvunjika?
maumivu ya shingo?
rheumatoid athritis?
maaana athari kama hizo hapo juu huweza kupelekea ukakamavu wa vidole na vidole kukosa nguvu ya kukunja hadi mwisho.
Dr sijawahi kuvunjika,wala hiii rheumatoid athritis sijawahi kuwa nayo
Sina maumivu yoyote ya shingo
Ni vidole vya mikono yote havikunjiki mpaka mwisho na vinauma,hasa nikilala nikiamka iwe mchana au usiku vinauma tuu
Mimi Nina tatizo la mgongo na miguu kuchemka ni mda mrefu sasa . Nimeshatumia vitamins B complex na hazikunisaidia baadae nkatupewa lyrica nazo hazijanisaidia. Ila nilishapima mara kadha ukimwi nkaoneka Aina, nimepima BP ipo normal, nimepima kisukari nkaonekana sina, nmetumia dawa za arthritis hazijanisaidia . Ebu nipe ushauri Dr. Sometimes mwili mzima upo umechemka but nikipima temperature ipo normal rangesje, una maumivu ya viungo??
mgongo,shingo,bega,kiuno,nyonga,magoti,miguukuwaka moto,ganzi mikononi na miguuni????
Niulize swali nikupatie ufumbuzi wa tatizo lako .View attachment 1103596
kuchemka miguu unamaanisha miguu kuwaka moto?Mimi Nina tatizo la mgongo na miguu kuchemka ni mda mrefu sasa . Nimeshatumia vitamins B complex na hazikunisaidia baadae nkatupewa lyrica nazo hazijanisaidia. Ila nilishapima mara kadha ukimwi nkaoneka Aina, nimepima BP ipo normal, nimepima kisukari nkaonekana sina, nmetumia dawa za arthritis hazijanisaidia . Ebu nipe ushauri Dr. Sometimes mwili mzima upo umechemka but nikipima temperature ipo normal ranges
Kama nilivyokuambia hapo juu magonjwa mengi including ukimwi, BP , kisukari sina sasa hapo. Umri Nina miaka 30 kwa sasa . Tatizo hili ni miaka kama minne sasa. Ila kuna kipindi lilituliaga baada ya kutumia vitamins. Lakini lilirejea tena baada ya mda mfupije, una maumivu ya viungo??
mgongo,shingo,bega,kiuno,nyonga,magoti,miguukuwaka moto,ganzi mikononi na miguuni????
Niulize swali nikupatie ufumbuzi wa tatizo lako .View attachment 1103596
kuchemka miguu unamaanisha miguu kuwaka moto?
ulitumiaga aina gani ya vitamins?Kama nilivyokuambia hapo juu magonjwa mengi including ukimwi, BP , kisukari sina sasa hapo. Umri Nina miaka 30 kwa sasa . Tatizo hili ni miaka kama minne sasa. Ila kuna kipindi lilituliaga baada ya kutumia vitamins. Lakini lilirejea tena baada ya mda mfupi
kwa matatizo ya mgongo na miguu kuwaka moto. mara nyingi ukifanya kipimo cha MRI ya mgongo unaweza kugundua athari ambayo imetokea kwenye mgongo na kuleta dalili hizo.Yaa miguu kuwaka moto hasa na mgongoni pia . Baadae inakuwa mwili mzima. Age npo bado 30 years