meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,349
- 4,674
Kwani huko Kaskazini anaenda kutibia warundi?
wanyarwanda,ivory cost,n.k yaani hujui jamii ya arusha na moshi ni wageni?
Kwani huko Kaskazini anaenda kutibia warundi?
unafikiri ni upasuaji wa kuku?unataja tuutuuu je hao uliowataja wamespecialize kwa watoto wachanga tuuu?daktari huyo anaitwa nani?
ni kweli kuwa yuko peke yake mwenye ujuzi huo?
vipi kina dr Swai, fataki,Massawe,Namala nk hawana huo ujuzi?
hapo anatibu watz wahali ya juu na sio wote tena wataweza kumfuata hapo bila mihela bado sana kutibiwaHakuna pigo hapo, bado yupo Tz kutibu watz.
Yule Ni Ngiloi, keshastaafu ukienda huko Tumaini ni private 2million.hivi sio yule mama wa tumaini?
Selian is also a private hospital, under Lutheran.kama aliweza kufuatwa Muhimbili, atafatwa huko huko kaskazini hata kama ni Seriani au KCMC
Yule Ni Ngiloi, keshastaafu ukienda huko Tumaini ni private 2million.
Selian is also a private hospital, under Lutheran.
Cost is invariably high.
a milion plus!
How many will afford?
I dont buy that.Those guys are fewer than 15,even other specialities are grossly over-reported.-
- Anaesthiologist 25(not anaeshetist),
!
No.Hicho ndio Rais wetu alikuwa anakihitaji, kuwa hao madaktari waondoke tu...
unafikiri ni upasuaji wa kuku?unataja tuutuuu je hao uliowataja wamespecialize kwa watoto wachanga tuuu?
hahahahtehetehetehe kaaaazi kwelikweliNo.
You are wrong.
He meant threat.
He thought docs are grounded, no options, desperates.
He never thought of it.
That they'll resign, GO!
The type of HEAD Kikwete owns DOES NOT allow him to foresee such incidents.
Much of his cranium is filled with entertainments, and nonsenses.... things like that.
Mgonjwa anaweza kuwa na tatizo ambalo linatibiwa na dawa tu.hao nliowataja wanahusika zaidi na watoto ila sijui specialization zao
Bahati mbaya huyo rais ametokea kuwa kikwete.Dr Mng'ong'o ameitikia wito wa Dr Kikwete..swafi sana hii kutii mamlaka ya Raisi
pimbi facts zile za Lokissa anakurupuka atatuambia kila mwenye jina linaloanza na Dr. huyu ni dactari
Hao uliowataja ni paediatricians wakati mwandishi anamzungumzia Paediatric Surgeon! Umeona tofauti?daktari huyo anaitwa nani?
ni kweli kuwa yuko peke yake mwenye ujuzi huo?
vipi kina dr Swai, fataki,Massawe,Namala nk hawana huo ujuzi?