fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 11,107
- 19,978
CHADEMA wakichujua nchi 2015, wataalamu wengi watarudi nchini kujenga upya uchumi wetu. MUNGU YUPO NASI.
Nakubaliana nawewe mkuu. Na hapo ndipo tuakapodeclare uhuru wa kweli wa Tanganyika.
CHADEMA wakichujua nchi 2015, wataalamu wengi watarudi nchini kujenga upya uchumi wetu. MUNGU YUPO NASI.
huu ni uongo,KCMC kuna madaktari bingwa wanaopasua watoto kila kukichadaktari huyu alikuwa anawafanyaia upasuaji watoto wote kutoka nchi nzima. [/SIZE]
Huwezi kuspececialize katika kila fani ndani ya utabibu kamanda!daktari huyo anaitwa nani?
ni kweli kuwa yuko peke yake mwenye ujuzi huo?
vipi kina dr Swai, fataki,Massawe,Namala nk hawana huo ujuzi?
Bravo Dr. Mng'ong'o! JK na Mwinyi watakula jeuri yao
BABA AMANI sitaki kukuvunja moyo, lakini Mungu humsaidia asiyejisadia, lakini WaTZ hatujui kujisaidia kwengine zaidi ya kwende haja kubwa na ndogo; na hata hivyo ikiwa tutaendelea kula ugali bila mboga na mapande ya mihogo Mungu hatawasaidia hata kwa hilo. Capisci quello che dico? (= Do you understand what I say?).Mungu atuongoze watanzania maana tuko pabaya sana na hawa wanasiasa
Nakubaliana nawewe mkuu. Na hapo ndipo tuakapodeclare uhuru wa kweli wa Tanganyika.
CHADEMA wakichujua nchi 2015, wataalamu wengi watarudi nchini kujenga upya uchumi wetu. MUNGU YUPO NASI.
Kama kuna muhusika anasoma thread hii anisikilize kwa makini, Namfahamu vyema Dr Catherine Mng'ong'o alimfanyia oparesheni mtoto wangu.
Sasa nawashauri Serikali kuna daktari wenu huku mtaani anaitwa Dr Kabote mlimdisco KCMC wakati anachukuwa mafunzo yake ili awe daktari Bingwa wa huo upasuaji weni, mimi si mtaalamu wa hayo majina.
Dr Kabote mkamfukuza kazi na kodi zetu tulizomsomesha zimegeuka useless, yuko mtaani anakunywa pombe tu 24/7. pls namfamu huyu Dr Kabote kweli ni mlevi lakini pls hebu mrudisheni huyu mtu afanye kazi, kwani nilimjuwa Dr Catherine kupitia Dr Kabote na Dr Catherine akasema Kabote ni sinior sana kwake kwenye hayo mambo ya upasuaji, na ilibidi Dr Kabote ndio aanze kuwa Daktari Bingwa kabla ya Catherine.
Pls nyinyi serikali dhaifu hebu njooni mumtowe huyu Dr huku mtaani analewa tu wakati tumemsomesha kwa gharama kubwa sana.