Daktari na mgonjwa

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Dec 13, 2014
3,907
6,700
Daktari kama huyu anapatikana Tanzania?
FB_IMG_1610831269869.jpg
 
kwa tanzania hapo wangeanza na x Ray mkojo, Damu, nk. sio kwamba hawana utalamu hapana ila wanaambiwa fedha kwanza.
 
Uuwiii!! Na huku vile tunaangalia pesa kwanza hamna muda wa kushauriana yote hayo cha kwanza unaambiwa nenda kafanye vipimo tena sio kimoja.

Ukisharudi ikibidi tena kwa wewe mgonjwa kumuuliza Dr nini ufanye baada ya kuonekana huna shida labda ndio anaeza kwambia tena hapo atakwambia vichache na si vyote hivyo.
 
Back
Top Bottom