Daktari: Koo la Ommy Dimpoz linaendelea kutoa usaha

Kwanini alimwacha akapata hilo tatizo wakati alikua na uwezo wakulizuia?
Mimi naona mnampa sifa za bure tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu hashindwi kukufanya ww uishi raha mustarehe shida uziskie tu kwa watu ila mwenyezi anafanya mambo kwa utashi wke hapangiwi km manabii wke ilikuwa inawakuta misukosuko mm na ww akina nani anaweza kukupa mtihani wa maradhi na yy mwenyewe akakuondoshea anaweza kupa mtihani wa kutopata mtoto kwa muda autakao yy ukapata mtoto so chunga sana ulimi wko bro!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daktari wa Ommy Dimpoz amesema koo la Ommy Dimpoz bado linaendelea kutoa usaha tofauti na ilivyotegemewa. Siku ya leo Ommy Dimpoz alikwenda hospitali kwa ajili ya kutoa mrija aliowekewa lakini baada ya kumchunguza Daktari amekuta bado anatoa usaha hivyo watasubiri mpaka wiki ijayo ili wamtazamie zaidi

Awali ilikuwa kama angetolewa mrija leo basi angeruhusiwa kuondoka South Africa.

Aidha Daktari huyo ameeleza kuwa Ommy Dimpoz alikunywa kinywaji chenye sumu na sumu hiyo inaweza kuwa Alkaline au Acid

Sent using Jamii Forums mobile app
Kinywaji gani icho chenye sumu
Au ni MOFAYA nn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili ya watanzania jamani, ndo wonder we are, the way we are, alafu tuko buzy kutafuta mchawi nani, wakati tunajiroga wenyewe. Hiyo sumu inayozungumziwa sio kwamba alipewa na mtu aliinywa kwenye kinywaji inawezekani alichanganya au alikunywa kinywaji ambacho kilimzuru kama aleji vile, sasa watu kusikia tu neno sumu loooh, hell break loose. khaaaaaaaaaa,ngachoka
 
ila nae alikuwa anakula bata sana...vibinti kibao, mashauzi nini...sasa naona bata anamla yeye
 
Mungu hashindwi kukufanya ww uishi raha mustarehe shida uziskie tu kwa watu ila mwenyezi anafanya mambo kwa utashi wke hapangiwi km manabii wke ilikuwa inawakuta misukosuko mm na ww akina nani anaweza kukupa mtihani wa maradhi na yy mwenyewe akakuondoshea anaweza kupa mtihani wa kutopata mtoto kwa muda autakao yy ukapata mtoto so chunga sana ulimi wko bro!

Sent using Jamii Forums mobile app
Porojo tu

Amkaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo bongo uchawi mwingi yaan wanaoneana wivu mbayaa.

Siunaona Darasa walivyomkosa ktk ajali, wamempata ktk madawa???

*I shall kindly Knee to leave my Pride*
Bongo ni nomaa watu wana roho za hila wacha kabisa ukipata kidog shida yaani watu hawapendani Daaaah
Kuishi bongo kunahitaji uwe na akil ya ziada either ukipata usijionyeshe na ujifanye mjinga lakin mwerevu
Noma sanaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini alimwacha akapata hilo tatizo wakati alikua na uwezo wakulizuia?
Mimi naona mnampa sifa za bure tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuombea mwenyez Mungu akujalie uweze kuelewa vitu na tusiishi kwa kufuata jinsi tunavyodhani mm naamini kila kitu Mungu hufanya kwasababu maalum
Pengine funzo ama anataka ugeuke umrejee
Embu fikiria katika biblia kitabu cha kutok Mungu alimwambia Musa ataufany Moyo wa farao kuwa Mgumu asikubal wana wa Israel watoke misri ili kupitisha jambo fulan
Vilevile rejelea katik agano jipya kuhusu Yesu kristu alijua lazima ateseke ili mm na ww tukombolew
Kwaiyo ndgu yangu nakuomb Mungu akufungue angalau ubadilike kwa jins unavyofikir na kudhani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili ya watanzania jamani, ndo wonder we are, the way we are, alafu tuko buzy kutafuta mchawi nani, wakati tunajiroga wenyewe. Hiyo sumu inayozungumziwa sio kwamba alipewa na mtu aliinywa kwenye kinywaji inawezekani alichanganya au alikunywa kinywaji ambacho kilimzuru kama aleji vile, sasa watu kusikia tu neno sumu loooh, hell break loose. khaaaaaaaaaa,ngachoka
Unaambiwa mtanzania mpe kichwa cha habari tu
Vingine atamalizia mwenyewe
Hahahahaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom