Daktari huyu ni muuaji

ndio maana ni vzr mwanamke ukishajijua ni mjamzito hata kama una malarea kaonane na specialist wa wanawake, ukienda kwa hawa ma general doctor lazma litakukuta la kukukuta. kuna dada mmoja yeye mimba iliharibika akaenda hospitali akasafishwa akapewa na vidoge vya kumsaidia.
Umeongea vizuri mkuu watu hawajui tu lakini specialist ndio kila kitu anajua nini anafanya kwa mhusika
 
Hiyo ni dispensary huenda ya mtu binafsi,akiajiri wataalam hasa kuwalipa ataweza? Matokeo yake ndiyo haya. Mi.naona wajawazito wapendelee kwenda hospitali kubwa.
Hongera sana kwa kuokoa maisha ya huyo mama pamoja n kiumbe ambacho kipo tumboni, wataalamu wetu wakati mwingine wanatia shaka sana

Ifike mahali serikali iweke madaktari bingwa kwa ajili ya kuwahudumia wanawake na wajawazito katika vituo vyote vya afya
 
Muwewe alikuwa wapi?

Ulimtaarifu mumewe kuwa mkewe alitaka kupewa dawa za kuharibu ujauzito?

Hongera kwa ujasiri wa kuongozana na dada mwenye ujauzito ambao haujaanza kuonekana kwa macho na ukaokoa maisha ya kiumbe.

#Once a gentleman, always handsome.
 
Muwewe alikuwa wapi?

Ulimtaarifu mumewe kuwa mkewe alitaka kupewa dawa za kuharibu ujauzito?

Hongera kwa ujasiri wa kuongozana na dada mwenye ujauzito ambao haujaanza kuonekana kwa macho na ukaokoa maisha ya kiumbe.

#Once a gentleman, always handsome.
Mumuwe hakuwa nae alikuwa peke yake
 
Back
Top Bottom