Daktari Bingwa wa wanawake!

green29

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2007
Messages
312
Points
225

green29

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2007
312 225
afu mgonjwa alikuwa ndo master planner sababu wamejitahidi kumficha uso wake. Huwezi jua labda likuwa analipia gharamza za matibabu...!!
 

Kasana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2007
Messages
417
Points
195

Kasana

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2007
417 195
Worm weka data zaidi basi mkuu,

Huyu daktari inaonekana ni huyu mwanaume,(mfumo dume)
Lakini hatujaambiwa daktari wa fani gani, anaweza kuwa kama dk remmy, dk maji marefu n.k
 

Bubu Msemaovyo

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2007
Messages
3,600
Points
1,500

Bubu Msemaovyo

JF-Expert Member
Joined May 9, 2007
3,600 1,500
Matukio ya wauguzi na madaktari kufanya vitendo hivi ni ya kawaida kila siku yanatokea tatizo wake zenu hawayaelezi kila wanapofanyiwa vitendo hivi. Kama huamini jaribu siku moja kumchunguza mkeo ukiona mara kwa mara hupendelea kwenda hospital fulani lakini ukitaka kwenda naye anaikandia ile hospital basi ujue kuna walakini juu yake na daktari wenu. Mbona yapo hayo? Usishangae kabisaaaaaaaa.
 

mandilo

Member
Joined
Sep 28, 2007
Messages
14
Points
0

mandilo

Member
Joined Sep 28, 2007
14 0
aaa hiyo mbona ndo tabia yao hao madoctor tena nasikia msichana/mwanamke anapotakiwa kufanyiwa operation wakishamdunga ile misindano ya usingizi akishalala hua wanawabaka wanavyotaka na baada ya kumaliza mchezo wao mchafu ndo mambo mengine yanaendelea na mfano hai ninao wa dr moja jina kapuni wa hospitali kubwa ja jiji hili.....
 

Masatu

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2007
Messages
3,284
Points
1,195

Masatu

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2007
3,284 1,195
Mnachezew akili na magazeti ya udaku, hiyo ni game hao wanaigiza tu ili kuuza gazeti.

Ukiitafiti vizuri hiyo picture na body language ya hao "waliofumaniwa" haikupi kuwa hilo ni tendo la kweli bali ni mchezo wa kuigiza tu.

Umefika wakati haya magazeti yakamulikwa maana this is too much now, hizi njaa nyingine zinaleta mmomonyoko wa kimaadili.
 

Bubu Msemaovyo

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2007
Messages
3,600
Points
1,500

Bubu Msemaovyo

JF-Expert Member
Joined May 9, 2007
3,600 1,500
Mwaka 1992 nikiwa kambi ya jeshi pale nyumbani Mafinga kuna kuruta mwenzangu alipata matatizo ya tumbo ikabidi aende katika hospital ya jeshi, akaambiwa na daktari inambidi apimwe wacheki anatatizo gani, sisi wenzake tulikuwa katika kazi za kilimo pale Dubliganga kwa wale wanaokufahamu jioni tuliporudi tulipata taarifa za kusikitisha toka kwa yule rafiki yetu, alitueleza kwamba alibakwa na daktari na kwakuwa hapakuwa na sheria kali kuhakikisha vitendo hivi vinakoma kabisa na zilivyo adha za JKT kama wengi mnavyofahamu haikuwezekana kufanya chochote hadi leo. Kwa hiyo si jambo geni kwa hawa Madaktari kufanya hivyo yatubidi kukemea mambo haya.
 

YournameisMINE

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2007
Messages
2,250
Points
1,225

YournameisMINE

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2007
2,250 1,225
Hiyo kitu haihitaji uwe genius kustukia kuwa ni "bosheni," ....suala zima hapo lipo staged, hii ni aibu na ni prove nyingine kwamba kweli maisha bongo ni magumu kwani watu sasa wanatumia desperate and extreme means za kupata hiyo shillingi!!!!. kaaaazi kweli.
 

Forum statistics

Threads 1,366,744
Members 521,566
Posts 33,376,985
Top