Daktari bingwa wa matatizo ya uzazi

mhisani

Member
Sep 30, 2015
58
4
Wakuu naomba kujua kama hospitali ya KCMC mkoani kilimanjaro ina daktari wa matatizo ya uzazi kwa wanaume msaada tafadhali.
 
Wanaume kwa kawaida huwa hawana daktari bingwa wa uzazi kwa sababu matatizo yao uzazi ni machache
1. Kukosa au kupungua kwa nguvu za kiume
2. Kutokutoa au kutoa kidogo mbegu za kiume
3. Magonjwa ya mfumo wa uzazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom