Daktari askari polisi abaka mgonjwa wake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Daktari askari polisi abaka mgonjwa wake

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ulimakafu, Nov 24, 2011.

 1. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #1
  Nov 24, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,991
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Gazeti la Mtanzania la leo lina habari kuwa daktari mmoja ambae ni askari polisi amefunguliwa mashtaka na jeshi hilo kwa tuhuma za kumbaka baada ya kumpa dawa za usingizi mgonjwa wake wa kike katika zahanati binafsi ya Arafa huko Mtoni Mtongani Temeke DSM.

  Issue hii imetokea mwezi Juni 2011 lakini jeshi la polisi limekuwa likisuasua kuchukua hatua.

  My Take:Maadili ya fani na kazi yako wapi?
   
Loading...