mende 2014
JF-Expert Member
- Apr 13, 2014
- 763
- 131
Ttttttt
Anaishi Chiringe ubalozi wa mzee Odindo karibu na kwa Makumbati.Ngoja niongee na muheshimiwa mirumbe sahv,nipeni detals faster??
Naona wewe pia ni jipu kweli kweli maana unautetea uovu bila kujua kinachoendelea.Mende 2014 acha wivu, Dr Rwega nimeongea naye muda si mrefu alisharipoti kwenye kituo chake na kuanza kazi, ila kwasababu ya makazi bado anarudi Bunda baada ya kazi. Kwahiyo acha majungu.