Dakitari oyeeeeee

Penelope

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
713
641
Mzee mmoja alifanyiwa upasuaji wa korodani,dakitari akatoa korodani kaweka pembeni ili aendelee na uchunguzi,paka akaingia na kuchukua zile korodani akatimka.dakitari kuona vile akaamua amuekee viazi ili asifukuzwe kazi.Baaada ya siku wakakutana na dakitari akauliza"unaendeleaje mzee wangu?"Mzee akajibu "Naendelea vizuri ila kuna mabadiliko kidogo badala ya kuota mavuzi,naota MATEMBELE"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom