Dakika za mtoa Roho

mogulnoise

JF-Expert Member
Oct 28, 2014
2,434
5,534
Awali ya yote niwatakie heri ya mwaka mpya 2017 kwa wale watakaopata neema hiyo.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ni aghalabu sana kusikia kesho katika vyombo vya habari kwamba katika mkesha wa mwaka mpya watu kadhaa wamepoteza maisha yao ila utasikia katika mkesha wa mwaka mpya watoto kadhaa wamezaliwa

Embu litimizeni neno Bwana alitoa na Bwana ametwaa ila binadamu tunaangalia tu Bwana anapotoa akitwaa ahaa

Nawatakia ushindi wale wote wanaopambana katika kutetea uhai wao Mungu atuonyesha Miaka mingine mingi zaidi

LIFE GOES ON
 
Kheri ya Mwaka Mpya kwa wale wote waliotangulia, na watakaotangulia kuingia 2017
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom