Ngunichile
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 356
- 519
Hayo yote apo juu yanaweza yasitokee hata kidogo. Nulikutana na situation 1 mwaka 2014 nikitokea Abu Dhabi kwenda Bangkok (sitotaja jina la shirika la ndege) na ilikuwa usiku kama saa 8. Tulikuwa tumeshavuka kipande cha 1 cha Indian Ocean/Arabian Sea, tumeshavuka India/Hyderabad na sasa tumeanza kipande cha 2 cha Indian Ocean hili tuvuke kwenda Thailand mara ghafla ndege ikaanza kushuka wakati ikitembea pia na ikaendelea kushuka kwa kasi kubwa lkn ikisonga mbele pia.
Abiria kwa bahati mbaya tulikuwa tumetangaziwa tufungue mikanda kitambo so almost psgs wengi walikuwa wamefungua mikanda na kilichotokea ni kwamba psgs ambao hawakufunga mikanda nikiwemo mimi tulibaki kama tunaelea hewani kwa sababu nakumbuka nilikuwa nasikia gap kati ya makalio na seat na hii ilitokea almost kwa psgs wote ambao walikuwa hawajafunga mikanda.
Ndege ikashuka toka around 38,000ft mpaka 19,000ft kwa mda mfupi sana then ghafla ikaanza kupanda juu. Cha hajabu kwa mda huo mfupi hatukusikia sauti ya cabin crew yeyote zaidi ya kelele kidogo tu za psgs na mimi nilikuwa nashangaa tu kwa sababu nilianza kutetemeka baada ya incidence kuisha.
Baadaye rubani akaomba radhi kwamba tulipita kwenye eneo lililokuwa na VACUUM na uwa inatokea once in a while so ndege ikakosa support ( infact alitumua lugha zao sijuhi aerofoil na maneno mengine I was no longer interested nilikuwa natetemeka tu).
So that day nikagundua kwamba kumbe kufa ni very simple kwa sababu tayari ndege imeshashuka almost 50% ina maana in the next 2-3 minutes tungekuwa kwenye maji.