Dakika 30 za kifo cha rais John F Kennedy.

Wewe muanzisha uzi acha upumbavu wa kunakili kazi ya The Bold mwanaume mwenzako. Yaani nyinyi JF chipukizi wa siku hizi mmekua troublesome. Pumbafu kubwa. Huna hata aibu una copy na ku-paste. Unajifanya kufanya small edition ili watu tusijue. Very stupid kid!
 
Hana uwezo wa kuiendeleza coz amekopi pahala. Kuendelea kwake inategemea kama mwandishi orijino ataiendeleza ili huyu nae akopi alete hapa.

Ila sidhani kama ataendelea tena coz tumemstukia kuwa ni jizi
Ina maana jamaa bdo hajaona km the bold kaendeleza,au anatafuta aanzie kati au mwisho!?
 
,
bfc478b6348514378d6897f5848e94b8.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom