Dakika 10 kabla ya harusi yako!!

naenda kwenye dili na naongozana na huyo wife mtarajiwa. wabongo watajua mambo ya kizungu kumbe tunaenda daka mkwanja. tukirudi harusi inafurika wine za kifaransa bia zote tunanawa
 
dili kwanza ndoa baadaye labda dili la kununua pembe za ndovu kazi ya kinana
 
Lah! Huu ni mtihani mgumu kwa kutoa maamuzi muafaka kijuu juu ni rahisi kusema "Dili" ndiyo mahala muafaka kwenda" lakini kiukweli kadamnasi utaiacha vipi kwenda kwenye dili lako?

Nitajifanya nimeugua ghafla na kuchukua boda boda na kutokomea kwenye dili langu kisha baada ya kukamilisha na kupata hela kimya kimya nitamjulisha Mke wangu kwamba Bw usidhani kwamba nilikukimbia bure, ni dili na kwa kuwa hela za michango zimesha tumika ndivyo sivyo tutangaze nimetibiwa kienyeji "jini mahaba" liliingilia ndoa yetu hivyo harusi ifungwe kwa gharana zetu!.
Kuna mitihani migumu bana, huu nao utauita mthani? huu hauhitaji hata kuchukua sekunde tano kuwaza, jibu liko wazi, harus naahirisha napiga dili.
 
Dakika 10 Kabla ya Harusi yako ,. Unapigiwa Simu Kuna Dili la Milioni 800 Alafu ni la uhakika lilikuwa linasuasua lakini sasa limekuwa tayali na ni lazima usaini sikuhiyohiyo uichukue.. Utaenda wapi ,. kwenye Harusi? au kwenye Dili???
kwa nia njema kabisa na kwa ajili ya wazazi wa pande zote mbili,marafilki woliofika kwenye harusi pamoja na mfungisha ndoa, nitaondoka kwenda kwenye dili kwani ninauhakika iwapo ntalipata weng wao watanufaika na hilo dili , kama msaada, mkopo na sadaka
 
Meku ela kwanza, pesa inaleta heshima aisee! Hata paroko akiskia umeacha dili la namna hiyo atakunasa kofi.
 
Una miaka mingapi ?maana akili zako zinaonyesha za kitoto sana na story zako za mbwa kachoka hizi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom