Dakar Rally

Darwin

JF-Expert Member
May 14, 2008
908
56
Nina half ya damu ya kiafrika lakini naona wakati mwingine waafrika akili zao hazifanyi kazi.

Dakar Rally ni mashindano yaliyokua yanayoitangaza sana Africa, watu wengi sana wanaoishi karibu na maeneo ya mashindano walikua wanafaidika sana kibiashara na uchumi kuvutwa japo kidogo kwenda mbele.

Waafrika hawa hawa wakaanza kuwakaba nakuwanyang'anya watu wanaoshiriki na wasaidizi wamashindano.

Mashindano hayo sasa yamehamia Chile na Argentina kwakuogopa uvamizi wa waafrika.

Nani amepata hasara hapa?
 
Nani amepata hasara hapa?

Angalia upinzani uliorjumlishwa kwenye wikipedia:
The race has been subject to criticism from several sources, generally focusing on the race's impact on the inhabitants of the countries through which it passes. The environmental impact of the race has been another issue. This rejection of the race is notably the topic of the song "500 connards sur la ligne de départ" ("500 Assholes at the Starting Line"), by [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/France"]French[/ame] singer Renaud. According to recent figures provided by the Dakar Rally, the carbon emissions of the two week race are approximately equivalent to a [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Formula_One"]Formula One[/ame] race.[23]
The rally was criticised for crossing through the disputed, non-[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Decolonization"]decolonized[/ame][ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Western_Sahara"]Western Sahara[/ame], without consulting the [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Polisario_Front"]Polisario Front[/ame], which is considered representative of the [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Sahrawi_people"]Sahrawi people[/ame]. After the race officials began asking for formal permission from the Polisario from 2000 onwards, this has not been an issue. territory of
After the 1988 race, when three Africans were killed in collisions with vehicles involved in the race, [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Panafrican_News_Agency"]PANA[/ame], a Dakar-based [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/News_agency"]news agency[/ame], wrote that the deaths were "insignificant for the [race's] organizers". The [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Vatican_City"]Vatican[/ame] newspaper L'Osservatore Romano called the race a "vulgar display of power and wealth in places where men continue to die from hunger and thirst."[24] During a 2002 protest at the race's start in [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Arras"]Arras[/ame], France, a Green Party of France statement described the race as "colonialism that needs to be eradicated".[25]
Some residents along the race's course have said they see limited benefits from the race; that race participants spend little money on the goods and services local residents can offer. The racers produce substantial amounts of dust along the course, and are blamed for hitting and killing livestock, in addition to occasionally injuring or killing people.[26]
http://en.wikipedia.org/wiki/Dakar_Rally#Criticism

Sijui kama ni yote kweli lakini hata mimi naona ni jambo la ajabu kuwaona wale watu wenye pesa kuchoma petroli wakipita kwa mbio mbele ya watu wenye njaa.
Hata mwaka huu watu waliuawa; maana kwa ghafla kuna magari mengi katika maeneo ambako watu hawazoea kabisa trafiki.
 
Kipala hayo mashindano yalishahamiswa kwenda Argentina toka miaka

route_dakar.jpg



[ame]http://en.wikipedia.org/wiki/Dakar_Rally[/ame]
 
mimi naona sawa tu...
acha waende huko Chile....
hayo mashindano hayana faida kwa waafrika kwani
hao jamaa wao wanapita porini...
faida ya mwafrika ni kuangalia tu...
hao jamaa wanakujaga full nondo na wakimaliza
wanaishia zao...
acha waende tu...
 
[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Omar_Osama_bin_Laden"]"Omar Osama bin Laden[/ame], son of [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Osama_bin_Laden"]Osama bin Laden[/ame], recently attracted widespread news coverage by promoting himself as an "ambassador of peace" and proposing a 3,000-mile (4,800 km) horse race across North Africa as a replacement to the Dakar Rally, with sponsors' money going to support child victims of war, saying "I heard the rally was stopped because of al-Qaida. I don't think they are going to stop me."[22]"
(palepale kwenye makala ya wikipedia)



Si hoja baya. Isipokuwa maskini farasi!! Naona akina Osama heri washindane kwa mbio wa migu!!
 
Back
Top Bottom