Dailymail Exclusive: Jinsi mwanasayansi wa Iran Mohsen Fakhrizadeh alivyouawa na Mossad kumbe umeme ulikatwa

Ndio mkuu wanaweza kumbuka taifa teule la Mungu wa kweli watu wako radhi na tayari kufa kulitetea kwa maslahi mapana ya vizazi vijavyo l. Hata mimi niko tayari wakinihitaji
Who told you kwamba ni taifa teule la Mungu wa kweli linalouwa innocent people. Omba Mungu wako achana na hawa ma Zionists ambao ni full manosic. Huna tofauti na wale wanaona Mungu anaishi Saudi Arabia huku watu wakikatwa shingo kila kukicha. Endeleeni kuabudu hao ma-zionist IPO siku mtashangazwa wenyewe
 
you naired it
 
Jana watu walikuwa wabishi leo nimeleta picha
images(2).jpeg

images.jpeg
 
Nakumbuka hezbullah ililipua gari la jeshi la israel na kuua watu nane israel mwanzoni ilikanusha taarifu but mwisho wa siku walikubali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom