Dailymail Exclusive: Jinsi mwanasayansi wa Iran Mohsen Fakhrizadeh alivyouawa na Mossad kumbe umeme ulikatwa

The Stress Challengerr

JF-Expert Member
Jan 18, 2020
2,478
6,762
Inakuwaje!

Extraordinary detail about Fakhrizadeh's final moments have been revealed by Iranian journalist Mohamad Ahwaze who claims he received leaked information from the country's authorities.

Daily mail tabloid ya Uingereza imefanikiwa kupata taarifa nyeti kutoka kwa muandishi wa habari anayeheshimika Iran Mohamad Ahwaze jinsi huyu jamaa jina limenitoka ni refu na gumuu mtaalamu wa nyuklia Iran alivyouawa na Mossad.

- opereshen iliendeshwa na watu 62
na snipers walikuwepo.
  • Yasadikika umeme ulikatwa
  • Gari lake na walinzi yalikuwa bullet
  • Proof ndio maana wakatumia
bomu.
- Walinzi wake walikabiliana ila
wengi waliuawa.
- Baada ya tukio wakatoweka kama
theluji inavyoyeyuka mbele ya
moto.

Hii ni exclusive kutoka Dailymail online. Soma zaidi kwa kubofya Linki hapo chini.

Assassination of Iran's top nuclear scientist 'involved 62 people' Assassination of Iran's top nuclear scientist 'involved 62 people'
 
ongezea na Baadhi ya washambuliaji pia waliuwawa..pia kulikuwa na washambuliaji wanaojitoa muhanga...najiuliza Mossad wanaweza kutuma suicide bombers!???
Ndio mkuu wanaweza kumbuka taifa teule la Mungu wa kweli watu wako radhi na tayari kufa kulitetea kwa maslahi mapana ya vizazi vijavyo l. Hata mimi niko tayari wakinihitaji
 
Wakati mwingine media za Uingereza utia chumvi nyingi - haya mambo ya kusema kuwa mvujisha habari jina lake ni refu sana aliwezi kuandikwa wana maanisha nini kama siyo adithi za kutunga tu.

Walijuaje kwamba idadi ya wauuaji walikuwa in 62 na details halafu gazeti linajidai taarifa hizo za ndani zimepatika kutoka source ya Serikali ya Iran - hii inaingia akilini kweli?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom