Kibeka Senzela
Member
- Sep 23, 2010
- 7
- 0
Naamini wanasheria wa Chadema, Wakili Mabere Nyaucho Marando na Wakili Tundu Antipas Lissu, wameshaliandikia "demand letter" (barua ya nia ya kushtaki) hilo DAILY NEWS kwa kashfa hiyo nzito inayowagusa watanzania wengi wenye upeo wa kutosha wa elimu ya uchaguzi ambao hawadanganyiki!