Daily News na Habari Leo waendelea kuchakachua habari.....

Wakuu zangu. nimeona ile heading ya Habari Leo nikasema moyoni mwangu kwamba hawa wenzetu bado kwenye enzi za chama kushika hatamu.

Ingawa wengi tutasema tuwaache hawa bila kuwapigia kelele but madhara ya hahari watoazo ni makubwa kuliko maelezo. vyombo vya habari kama hivi ndivyo vinavyoipeleka nchi pabaya maana vinajua ukweli lakini vinaamua kwa makusudi kuupotosha na kusema uongo uliokufuru.
Wahusika (CHADEMA) wanapaswa kuchukua hatua kuwashtaki kunakohusika ili hata kama hazitachukuliwa hatua basi rekodi ziwekwe.
 
Nijuavyo mimi, Obama hakuandika barua kupongeza lolote isipokuwa Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kwa niaba ya serikali ya Marekani ndio walitupongeza hivyo barua hiyo imendkwa na Ubalozi wa Marekani Dar.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom