Daily bread Machine

Kifulambute

JF-Expert Member
May 8, 2011
2,539
755
habari za kazi wanajamiii.....naomba mwenye kujua ni wapi naweza pata machine za kutengeneza daily bread anijuze...
 
habari za kazi wanajamiii.....naomba mwenye kujua ni wapi naweza pata machine za kutengeneza daily bread anijuze...

inawezekana pia kuna weekly bread ... haa haaa

A town wazima huko mkuu, wahusika wanakuja sasa hivi usihofu
 
habari za kazi wanajamiii.....naomba mwenye kujua ni wapi naweza pata machine za kutengeneza daily bread anijuze...

Una maanisha breadmaker? Cheki Game niliona au hata kariakoo pande za vitu used na zenj pia zipo.
 
jieleze vizuri kama unahitaji bread maker. Kama ni issue za bakery basi ujue unahita mixer, oven n.k
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom