Havikujezwa
Senior Member
- Feb 12, 2016
- 185
- 96
sio kweli,hesabu za VAT hazipigwi hivyo.Binafsi nanunua vitu kwenye maduka makubwa napewa risiti za EFD, kisha naenda kuwauzia watu juu kwa juu. Mfano nanunua kitu cha chenye thamani ya 120,000 kisha naenda kuuza kwa thamani ya 150,000 faida yangu 30,000, je EFD nikichukua ntamtolea risiti ya shs ngapi? Wakati mteja wangu katoa 150,000, ukizingatia nikimtolea risiti ya 150,000 basi faida yangu yote 30,000 inaenda TRA. Vat inakuwa elfu 27,000 inabaki elfu 3,000 nauli kila kitu muda nabaki sina kitu. Sio hapa kazi tu, bali hapa kukomoana tu. Maana asilimia kubwa ni wachuuzi kama mimi.
sio kweli,hesabu za VAT hazipigwi hivyo.