:thinking: Dah! Wandugu nimekwama kidogo naumri nao umesoge naombeni mnikumbushie swala moja tu. Nataka kuandika HIstoria ya maisha yangu kutokana na kwamba nimepitia maswaibu mengi sana sasa sijui nianzie wapi. Tafadhalini kama kuna anaeweza kunipa mwanga kidogo nigeshukuru sana........!