Dah yamenikuta wadau naombeni ushauri juu ya huyu manzi

Vijana wanapitia magumu sana...

Sasa mtu hajibu sms zako unapoteza time za nini?
 
Kwenye kikao tulisema mwisho siku tatu akiwa na chura ni wiki ndo makubaliano tuliyoyafikia hayo ndo madhara yakutokuja kwenye vikao

Unasubiria majibu utadhani unasubiria post za ajira za walimu wa Sanaa serikalini
Hakuja kwenye kikao huyu jamaa
 
Kiukwel mimi kuna aina ya watu siwezi kua nao katika mahusiano ata kwa dawa natafuta namna nzuri ya kumuelewesha anielewe.
Kama ndo ivyo basi mimi pia kuna mtu hawezi kua na mimi kwenye mahusiano na huna budi kuheshimu maamuzi ya mtu.
Unataka mpaka uambiwe hupendwi.
 
Back
Top Bottom