MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 31,744
- 48,385
Ama kwa kweli majirani zetu WaTz wako nyuma kwenye mambo mengi sana, sijui mbona huwa wamelala hivi, kuna vitu vidogo vidogo unakuja kushtuka hawakua navyo muda wote huu, kwa mfano nilishangaa sana kwamba miaka yote walikua wanatumia radars zetu, juzi tu ndio wamejitutumua na kuwekeza yao.
Ukiwa mzoefu wa kujaza forms online, pale unahitajika kuchagua nchi, nimezoea kuikosa Tanzania kwenye baadhi ya mataifa ya kuchagua, wenzetu "sleeping giant" lini mtazinduka, tatizo mnapenda makelele sana ila matendo zero, leo ndio mnawaza kuwekeza ubalozi Namibia, hao hapo mlio nao kwenye SADC, sisi tulishasimika ya kwetu kitambo enzi zile.
Ndio maana tunawazidi kwenye biashara baina yetu na mataifa ya SADC, nyie hamna zaidi ya dhahabu yenu inayochukuliwa na kaburu wa Kusini.
--------------------------------------------------
Tanzania will soon open an embassy in Namibia as the two countries seek to foster bilateral relations in an endeavour to deepen economic ties.
Speaking during a Joint Permanent Commission of Cooperation (JPCC) for the two countries in Dar es Salaam yesterday, Tanzania’s minister for Foreign Affairs and East African Cooperation, Prof Palamagamba Kabudi, said Namibia has also said it will open an embassy in Tanzania.