Surgical Blade
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 349
- 16
Nimejifanya Nunda,
.
nika unlock hii modem,
chaajabu ikawa inasoma lain zote isipokuwa vodacom tu.
.
Nika upgrade tena
ika upgrade bila kunidai Code,
.
Nika unistall
.
Nikajaribu ku upgrade ikashndwa ku find port.
.
Nika install tena dashbord
.
Nikajaribu ku kuivesha dashbord kwa mara ya pili, alafu nika hibernate kabla haijamaliza,
nilipo washa tena nikirun setup.exe ya modem inagoma.
.
Ushauri wenu wakuu