Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,443
Yeah - Haya maneno huwa nayasikia sana maofisini asubuhi hadi makanisani Jumapili na Jumamosi pia - Dah! Umependeza!" Si mpenzi sana wa kuyatumia maneno haya, japo siku moja moja huwa na m-surprise my wife.
Je pale Rose anabomwambia Peter (wanafanya kazi sehemu moja hawa) kuwa "Dah! Umependeza leo" and vice versa - hamna hali ya kutamaniana kimahaba katika watu hawa wawili?
Je pale Rose anabomwambia Peter (wanafanya kazi sehemu moja hawa) kuwa "Dah! Umependeza leo" and vice versa - hamna hali ya kutamaniana kimahaba katika watu hawa wawili?